tunaiua dowans taratibu
hapana bwana mchakamchaka,huyu ni mama aliyemzaa MWANA WA MUNGU,Kwa sisi wa-rc tuna imani ya kuwa na MUNGU MMOJA KATIKA NAFSI TATU, yani BABA,MWANA na ROHO MT,sasa huyu mwana ndio alikuja duniani ktk umbo la ubinadamu ili tuonje upendo wa MUNGU kupitia kwa mwanae mpendwa YESU,hoping i conquer u a bit and thank you kwa kuweka habari yote.
\Na haitoishia hapo. wapo wengi watakaojitokeza tena kwa styles tofauti tofauti.
Sio siku za mwisho ndugu, isipokuwa lazma tukubali sisi Watanzania bado tumetekwa na wale Adui wa3 alowataja JK wa ukweli, tunapenda sana shortcut. Ndiyo maana hatufanikiwi kbs ktk mambo yetu mengi ya maana.