mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 816
Mbona CCM haipo kwenye list of Abbreviations
MUHUSIKA MKUU WA HAYO MAUWAJI NI M4C, CCM haihusiki! soma vizuri report.
Mbona CCM haipo kwenye list of Abbreviations
nimepitia kwa haraka nimegundua in upendeleo kwa vyama vingine sijui kama wameliona hilo mfana kirefu cha chadema kimeelezewa vizuri ila cha ccm hamna ingawa neno ccm limetumiwa mara nyingi sana ndani ya ripoti yenyewe ina maana hili hawakuliona au ni makusudi mazima.
hii ndio ile kamati ya nchimbi au nimeuliza dumb question?nimeisoma yote,kamuhanda should be hanged
Wakuu ripoti ya Mwangosi (MCT) imeshatolewa.
Fungua atachmenti hapo chini.
Tanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?
mkuu naomba uniruhusu niifungue kuiweka hapa
Kamuhanda umeanza lini kumjua Mungu? Mzimu wa Mwangosi hautakuacha mpaka siku unakwenda kaburini na utakufa kifo kibaya sana ww.Nimeisoma kwa makini, neno kwa neno, hakika CHADEMA ni wa kulaumiwa, kwa sababu katika report hii sehemu kubwa ni ubishi wa CHADEMA ndio ulomuuwa Mwangosi, sijui CHADEMA mtamlipa nini mjane na watoto hawa YATIMA wa mwangosi, Namlaumu Joh Heche kwa yote haya yalotokea, tubu kwa Mola wako na waombee sana watoto wa MWangosi wapate malezi bora au sivyo sijui kizazi chako wewe kitakuwa vipi! NAWAPA POLE SANA FAIMIA YA MWANGOSI ... na MOLA AWAFARIJI WAKATI WOTE NA AWAKUZE WATOTO WENU KATIKA MAADILI MEMA YENYE UCHA MUNGU.
Tanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?