Ridhiwani Kikwete Kuchunguzwa Na TAKUKURU Mpaka Aruhusu? Gazeti Jambo Leo

Asubiri 2016,,,wote walikula fedha zetu wasifikiri wako salama,hatima yao itajulikana mapema
 
Hivi ile kesi aliyosema atamfungulia Dr. Slaa kwa kumuita fisadi imefikia wapi?

Lakini hii nayo ni kali? Kikwete ambaye hataki watuhumia wa ufisadi mkubwa washitakia (ref Hosea and WIKILeaks). Leo hii anabariki TAKUKURU imuchunguze? (Rz1 and JK ni kitu kimoja).
Mkuu, hapa hakuna kuchunguzwa mtu, bali lengo ni kusafishwa.
 
hivi takukuru kazi yake haswa ni nini...wanakula tu hela za walipa kodi na sioni wanachofanya
 
Asubiri 2016,,,wote walikula fedha zetu wasifikiri wako salama,hatima yao itajulikana mapema

Hiki ni kichekekesho. Riz1 acha uhuni usidhani wewe una akili sana kuliko wengine. Shule umememaliza juzi tu huu utajiri wa kutisha umeupata wapi?
 
View attachment 55713

Wakuu nimeikuta hii kule Mjengwablog, eti Ridhiwani amebariki usalama wa taifa na TAKUKURU wamchunguze.

Swali ni kuwa kumbe huyu asipotaka kuchunguzwa haiwezekani kwani ni mpaka atoe ruhusa?
Kwa picha zaidi za magazeti ya leo mnaweza kwenda www.mjengwablog.com

Sikujua kama usalama wa taifa wanachunguza watu openly. Hivi jeshi la polisi halichunguzi siku hizi? Mimi namuomba ajichunguze halafu atupatie taarifa kupitia vyombo vya habari! Hivi ile Master's degree aliyokwenda kusoma UK ameipata?
 
Hii nchi wameifanya ya kwao na wajinga wanadhani ni hivyo. Ni kweli bila kubariki hawawezi kumchunguza. Mzee wake si ndio aliowapakazi hao wachunguzi akiwashtaki j kwa mzee je? si watapoteza kazi!
 
kwanini sasa wakati kauli hizi kuhusu shuguli zake zimekua zikipigiwa kelele inaonekana amekamilisha kuficha nyaraka muhimu na kuandikisha makampuni yake kwa majina ya watu wengine and then anasema njooni mnikague kichekesho na usanii wa ccm!
Anajua wazi kuwa Dr. Hosea atamtetea kama Chenge alivyotetewa kwenye sakata la rada. Ili uchunguzi uwe 'fair' asubiri baba yake atoke madarakani.
 
Hii kali yeye anatoa ruhusa kama nani?
Angoje kutakapokuwa na serikali mpya Dec 2015 tuone kama ataendelea kuwa na kibri kama hii
 
Hapa hataki kuchunguzwa anatafuta kuoshwa na oseya kama alivyo msafisha lowasa kipindi cha lichimond.
 
Hivi ile kesi aliyosema atamfungulia Dr. Slaa kwa kumuita fisadi imefikia wapi?

Lakini hii nayo ni kali? Kikwete ambaye hataki watuhumia wa ufisadi mkubwa washitakia (ref Hosea and WIKILeaks). Leo hii anabariki TAKUKURU imuchunguze? (Rz1 and JK ni kitu kimoja).

Duh, umenikumbusha kitu muhimu sana hapa mkuu. Hivi jamani kuna anayejua juu ya ile kesi aliyoifungua dhidi ya dr. Slaa atupe taarifa imefikia wapi?
 
Back
Top Bottom