Tatizo la Wtz wengi ni wachovu wa fikra chanya,kwa mtu aliyemsikiliza vizuri RAK akiwa ITV na then pale Theatre one kwenye mdahalo hawezi kuongea utumbo juu yake!
Wengi mnaoongea kwa hisia mbaya juu ya wenzenu ,ni kwamba ama mmekosa nafasi au mmeshindwa kutumia fursa zilizopo kujijenga katika jamii na kuletea Taifa hili maendeleo.
Ni sawa na vilaza fulani ambao wamekariri mambo ukiongea nao jambo ambalo hawalioni ktk madesa yao watakuambia unauza chai.
Kazi yao ni kuponda siasa lakini hawaishi kuwaabudu wanasiasa maarufu!
Wivu wao ni kwa sababu RAK amejitambulisha kuwa ni mfuasi wa Nyerere na ni mwana CCM,angesema ni mfuasi wa Mbowe na ni CDM ndo ungejua wengi waliochangia thread hii upeo ni mdogo kiasi gani,wangetoa sifa kibao juu yake.
Kasesela songa mbele,acha nao don't follow the crowd since majority are lossers and minorities are winners.