Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Mwacheni Bwana Kasesela...
Jamani nimewasikia lakini namuachia Mungu. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Kwa wale wenye nia ya kunigombanisha na familia ya Mwandosya nao nawasamehe God knows.
Nadhani kikubwa zaidi ni kuacha wivu na kujadili mambo ya mstakabali wa taifa letu.
Heshima ya mtu hujengwa na analosema na kwa vile wengi wetu humu tumeficha ubini wetu naona sina haja ya,kuendelea kulumbana.
God bless you.
Richard A Kasesela
Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa
Kwanza kabisa mtoa hoja alikuwa tu na nia ya kunichafulia kama ilivyo kawaida yake. Pili sikusema hata kidogo nina falsafa za Mwalimu mie nimesema ni mfuasi wa falsafa za Mwalimu, kwa hiyo kuna utofauti mkubwa sana.Mi sijaelewa hii hoja ameijengea kwenye engo gani,kosa ni kosa tu.
Weka personal attacks pembeni, ukiona watu wana ku-attack ujue somehow uko influencial.Kwanza kabisa mtoa hoja alikuwa tu na nia ya kunichafulia kama ilivyo kawaida yake. Pili sikusema hata kidogo nina falsafa za Mwalimu mie nimesema ni mfuasi wa falsafa za Mwalimu, kwa hiyo kuna utofauti mkubwa sana.
Huwa sina account JF hii ni mara ya kwanza kufungua account kwani nimeona jambo sensitive limezungumzwa hasa linalohusu maisha ya mtu ambaye namheshimu sana. Ningekaa kimya lakini this was going way beyond. Pia kama kweli ulisikia vizuri, nilisema tunafanya kosa kubwa kuendelea tu kuandama Rushwa kubwa wakati hizi Rushwa ndogo zinageuka utamaduni mwishoni itakuwa kawaida tu kutoa Rushwa kwa kila jambo. Wala sijasema tuache kupambana na Rushwa kubwa.
Kwa wale wasiojua historia yangu na familia ya Mzee Mwapachu they just need to ask kuliko kutunga ili kutimiza tu matakwa yao ya kuchafua wenzao. Sijawahi na wala sitowahi kuwa mtoto wa mtu mwingine yoyote zaidi ya Merehemu Mzee Ellie Kasesela. Na pia sikujipeleka ITV, I was called saa 2 usiku ili niwahi kipindi cha Kumekucha kwani walikuwa wamemualika hakutokea.
Pia sitoki Rungwe Mashariki natoka Rungwe Magharibi.
Hofu yangu wengine tumesoma baadhi wakiwa Madaktari lakini tunaishia kujadili vitu vidogo na personal, I don't think this is right
wacha uongo wewe,, yeye hakugombea kwa mwandosya yeye alishindwa kwa mwakyusa
Juzi alikuwa msemaji wa familia ya Mwapachu...nikashangaa sana jinsi anavyojua kujipaisha...namfananisha sana sana sana na Kibonde naona kama wana element zinazofanana...
Weka personal attacks pembeni, ukiona watu wana ku-attack ujue somehow uko influencial.
Swali:
Je, hudhani kuwa mafisadi papa ni catalyst ya rushwa ndogondogo? Huoni kuwa wao ndio wanacreate the "Domino effect"? eg; Polisi huchukua hongo kwa sababu mshahara ni mdogo na mazingira ya kazi zao ni mabaya, na hii kwa asilimia kubwa imetokana na ufinyu wa bajeti ya serikali. Ufinyu huu wa bajeti umetokana kwa asilimia kubwa na kutotumia au kutonufaika kwetu na rasilimali ambazo mwenyezi mungu ametupa kama vile
1. Madini
2. Vivutio vya utalii
3. Watu wapendao amani (tunawapoteza)
4. Tanzania ni nchi ya tatu baada ya Sudan na Ethiopia kwa mifugo mingi.....
Na mengine mengi.
Kumbuka maliasili zetu zinawanufaisha sana watu wa mataifa mengine, sana tena sana kwa kushirikiana na vigogo wa humu nchini.
Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa
craaap!! sasa kama aliokoka sisi unatuambia tufanye nini? tulie? tucheke? bull shit!Huyu Bibo ni wa kumwacha hivyo hivyo akikua ataacha. Nakumbuka aliokoka wakati yuko Azania na alikuwa bingwa wa kutoa ushuuda! By the way ana rafiki yake mfupiii naona yeye hana huu ujinga.
Mna subiri nini huko nyuma yake?Ndugu yangu RK wala usikonde, unawajua wanadamu kwa wivu, wewe usijali fuata moyo wako unakwambia nini, mimi kwa mtazamo wangu your doing better than most of us. Keep it up, mamia tuko nyuma yako.
Huwezi kupambana na adui kama hujui ukubwa na uwezo wake. Hivyo nilazima tuichambue rushwa katika ukubwa na udogo wake hapo ndipo tutakapo weza kujenga mikakati sahihi ya kupambana nayo.Nakubaliana na wewe katika hili lakini katika vita hii tusitenganishe kwa magnitude Rushwa ni Rushwa tu wote washughulikiwe ipasavyo tatizo liko pale pale nilisema asubuhi paka kengele na panya...