Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Wamefukuzwa kwa sababu gani?
ili watoto wao wapewe nafasi. Kwani nchi hii huijui?
Wamefukuzwa kwa sababu gani?
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.
Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.
Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.
Kwani walikuwa na nafasi zipi?
Make FTC ni elimu pia inayojitosheleza kwa nafasi fulani.
Pia najiuliza hivi hawa watoto wa vigogo waende wapi? mbona wanapigwa vita kila sehemu hata wale waliosoma vizuri akishakuwa mtoto wa kigogo basi kachomekwa. Je wao si haki yao kupata kazi nzuri hapa TZ?
Sikubaliani na wale wanaopewa nafasi sizizolingana na uwezo wao ila tukubali wako watoto wa vigogo wamesoma vizuri tu na wana uwezo mkubwa na wanastahili kupata kazi nzuri.
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.
Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.
Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.
Wamefukuzwa kwa sababu gani?
We Nyangasi wa kwa La kairo? please pm mekumbe hata mimi marytina nyangasi ni mtoto wa kigogo..
kwa nini magufuli asiwawajibishe wale waliowapa hizo ajira?
kama ni hivyo basi itakuwa ni mwendelezo wa Ufisadi-kuwafukuza watato wa masikini waajiriwe wa vigogo na hapo hapo jamaa anapata ujiko kwa kutangaza kufukuza watoto wa vigogo Ningeshangaa magufuli amepata wapi uwezo wa kufukuza watoto Wa vigogo wenzake!

una ubongo finyu sana ndio maana huelewi IMPLIED CONDITIONS TO ONE NAME MTU KIGOGO.
Yawezekana upo njee ya Tanzania kwa muda mrefu ila kama upo bongo basi wewe ni sub-stratum yaan ungesoma shule zetu za kata hata kwa miaka 20 usingeweza kuikwepa div zero
wamefukuzwa kwa sababu ni watoto wa vigogoWamefukuzwa kwa sababu gani?