R-AUDIPHACE
New Member
- Oct 21, 2012
- 2
- 0
Wote hao nawafahamu lakin mbona mojawapo tuhuma siyo yake
We sasa unalako jambo,mm Salma wa nini huku?Hujasoma somo la uraia?Kwa taarifa yako,ana sifa za kutoshaLabda wanaficha majina yao harisi, Magufuli kachemka. Kwanza angesema sifa za kufanya kazi mizani, then angewataja hao waliokosa sifa na sio vigogo tuu. Au ajiulize
Mbona Salma Kikwete hana sifa lakini kapita bila kupingwa?
Sifa ya **** "Mimi Maimuna"?We sasa unalako jambo,mm Salma wa nini huku?Hujasoma somo la uraia?Kwa taarifa yako,ana sifa za kutosha
kigogo is obviously relative kama na wewe binti wa kileo huelewi hilo basi kuna shida. By the way kwa nini kama great thinker usijibu kwa hoja. Swali ni kwamba kigogo ni nani! wadau hapa wamedai kuwa hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja kwenye hiyo list. aliyeleta uzi atuambie ni nini kinachowafanya hao wawe watoto wa vogogo. No offence lakini majibu yako hayasaidii kumuelewesha mwenye nia ya dhati ya kuelewa. tina acha hizo uwe muungwana hapa jamvini!
labda magufuli alivosema watoto wa vigogo labda alimaanisha ni watoto wa katibu kata, mkurugenzi wa halmashauri ya huko vijijini pwani au mwenyekiti wa nyumba kumi kumi