Kwa hiyo kwa yale masaa sita waliongea nini? Madaktari wamemwamini Rais na waliongea in camera na Mgomo umeisha tuache chokochoko tuwaache madaktari wafanye kazi na serikali ifanye kazi yake kwa mujibu wa mazungumzo yao.
Ukweli wenyewe nakubaliana kwamba Raisi amekiuka msingi wa mazungumzo ametumia platform ya kuzungumza na wazee kuwatukana na kuwadharilisha madaktari kinachofuata ni Resistance ya madaktari ini silence mpaka wananchi tutakapojua tunaitaji kudai haki zetu ,nadhani katika utendaji wao wa kazi hakutakuwa na kuimprovise kwa mfano kutumia gloves za nailoni badala ya mpira,kutumia savlon badala ya spiriti,kupima mngojwa kwa kiganja kujua joto limepanda badala ya thermometer kupiga magoti kumkagua mgonjwa chini ya sakafu badala ya kitanda,watataka mambo na vifaa viwepo kuwawezesha , Mahusiano kati ya daktari na nurse yatakwenda arijojo manake Kikwete amewasifu wakati ukweli ili kazi ziende hawa wwanafanya kazi kama team alichokuwa anadai daktari automatically kingewanufaisha wafanyakazi wote wa sekta ya afya yeye anatumia mbinu za divide and rule