Rev Fr Masanilo

Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.

majibu yake ni short and clear,,i like it
 
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.
Crap....!
 
seated-figure-sculpture-tim-kyle-seymour-centre-ns31.JPG
Jamani huyu si ndiye CHINO wa kwenye gazeti enzi zile za Mzee Mayuku
 
Back
Top Bottom