Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,127
Unamkumbuka Midu Matembo (Hamidu Matembo)?

Miaka ya 2000 katikati hadi 2013/14 mitaa ya Ubungo pale kulikuwa na jamaa mbabe mmoja wa kuitwa Hamidu "Matembo".

Hamidu alikuwa ndio defacto kiongozi wa kundi la Matembo wa Ubungo yote hiyo Kagera hadi Kimara.

Sifa kubwa ya Hamidu ni alikuwa anapiga sana ngumi. Yani ni wale majamaa enzi za primary miaka ya 90 tulikuwaga tunasema "anapiga shule nzima".

Mtu pekee alie kuwa anaweza walau kusimamia na Midu Matembo ni jamaa wa kuitwa Iddi Bonge. Ila Iddi Bonge hakuwaga na ishu kama za Hamidu Matembo.

Vibaka wa Ubungo, Kimara kushuka chini hadi Kagera walikuwa wanamuheshimu na kumuogopa sana Midu Matembo.

Hamidu Matembo was frontin like kiongozi wa askari jamii/ ulinzi shirikisha but deep down alikuwa ndio kiongozi wa vibaka na waizi wote Ubungo stendi.

Midu Matembo alikuwa ni kama vile defacto president wa vibaka wote kutoka Kagera, Manzese, hadi Kimara, walio kuwa wana piga mishe zao mitaa ya stendi ya Ubungo. Wote walikuwa wana ripoti kwa Midu Matembo.

Ukikwapua simu huko ukienda kuiuza lazima upeleke ganji kwa Midu.

Ishu zote chafu zilizokuwa zinafanyika mitaa ya Ubungo stand Hamidu alikuwa anazijua.

Sasa basi ilikuwa kama umeibiwa kitu chako cha thamani lets say laptop yenye documents zako muhimu au simu yenye namba zako muhimu na unataka uipate kwa haraka basi usijaribu kwenda sijui polisi waje wakusaidie kuwapata hao vibaka urejeshewe mali zako au usijaribu kufight wewe mwenyewe kwa sababu ukweli ni kwamba huwezi kuvipata.

UFANYAJE ILI UVIPATE?
Wewe nenda kwa Hamidu muombe akusaidie kupata vitu vyako. Kama Hamidu atakubaliana na ombi lako/ kama mtakubaliana kuhusu terms and conditions basi Hamidu atakwambia njoo baada ya lisaa limoja.

Hamidu anawajua vibaka wote wa Ubungo na vibaka hao wana muogopa, wana muheshimu na kumtii. So atakacho kifanya ni kuwaitavibaka hao na kuwaambia alie pora kitu fulani aki salimishe kwake mara moja. Then Hamidu atamrudishia ndugu muibiwaji mali zake

(Akina Hamidu Matembo wapo wengi sana nchi hii almost karibu kila mtaa)

Vivyo hivyo kwa Lucifer. Kwa mujibu wa mafundisho ya dini zote kuu mbili hapa Tz.

Lucifer ndio mkuu wa majini wachafu/ malaika wachafu (mapepo)

Na hao majini na malaika wachafu ndio chanzo cha matatizo ya wanadamu.

Kwa mfano kwa habari ya magonjwa ya kichawi majini wachafu na malaika wachafu ndio wana aminika kuwasababishia watu magonjwa ya kichawi.

Ukienda kwa mganga ambae ana connection na Lucifer ili utibiwe Maradhi yako ya kichawi ni lazima huyo jini aondoshwe kwanza na ili huyo jini aondoshwe atakacho kifanya huyo mganga ni kumuomba Lucifer aje awafukuze hao majini wachafu wanao msababishia maradhi mtu huyo.

Lucifer akitoa amri basi ni ndani ya sekunde chache tu hao majini wanaondoka wana muacha mgonjwa na mgonjwa anabaki salama akiwa na afya njema na majini hao hawatorudi tena kwa mtu huyo.

Wakati nafanya research yangu kuhusu uchawi na uganga nili watembelea waganga wengi wazito wazito na nilicho gundua ni kwamba hicho ndicho kinacho fanyika kwenye madhabahu zao.

Ukienda kwa mganga hasa hasa anae jihusisha na uchawi basi jua kuwa unaenda kwa wakala wa Lucifer na ukiona mganga kamfukuza jini mchafu kwenye mwili wa mtu basi jua ni Lucifer ndio kahusika moja kwa moja. Hii ina wahusu zaidi walio tupiwa maradhi ya kichawi.

Kwanini Lucifer ambae anatajwa kuwa na uadui mkubwa na watu wa Mungu akuponye wewe mwanadamu maradhi yako? Kwa sababu anataka umuabudu yeye kama vile vile ambavyo Mungu anataka umuabudu yeye. Lucifer anataka kupata kile ambacho Mungu anakipata kwa kuabudiwa na watu. Kuna waganga wengi sana ambao wanatibu na kuponyesha kabisa maradhi ya kichawi lakini wengi wao wanatibu maradhi hayo kwa njia hii niliyo ielezea hapo juu. Kazi kwako ndugu unapoenda kwa mganga kutibu uchawi jua unaenda kujisalimisha kwa kiongozi mkuu wa majini ili awape amri wakuachie kisha yeye Lucifer ndio awe Mungu kwako.

Ukienda kanisani au msikitini (polisi) utakuwa ni sawa na mtu alie enda kesi ya kuibiwa simu polisi unaweza ukaipata simu yako au usi upate na hata kama utaipata basi itakuchukua muda mrefu sana mpaka itakosa maana. Unless otherwise ukutane na polisi (mchungaji/shekhe) mwenye connection na mkuu wa vibaka (Lucifer) ambae ataenda kuongea na mkuu huyo simu yako ipatikane kwa haraka.

Na hii ndio maana watu wengi wanao muomba Lucifer wanafanikiwa kwa haraka sana bali kujalisha wana muomba kwa kujua ama kwa kutokujua

Chaguo ni lako uende polisi au kwa mkuu wa vibaka
 
Mimi nimekuelewa mkuu, Ila umeandika kiyahudi mwanzo mpaka mwisho yaan ni mwendo wa kiyahudi kitupu
 
Unamkumbuka Midu Matembo (Hamidu Matembo)?

Miaka ya 2000 katikati hadi 2013 /14 mitaa ya Ubungo pale kulikuwa na jamaa mbabe mmoja wa kuitwa Hamidu "Matembo"

Hamidu alikuwa ndio defacto kiongozi wa kundi la Matembo wa ubungo yote hiyo kagera hadi Kimara.

Sifa kubwa ya Hamidu ni alikuwa anapiga sana ngumi. Yani ni wale majamaa enzi za primary miaka ya 90 tulikuwaga tunasema " anapiga shule nzima".

Mtu pekee alie kuwa anaweza walau kusimamia na Midu Matembo ni jamaa wa kuitwa Iddi Bonge. Ila Iddi Bonge hakuwaga na ishu kama za Hamidu Matembo.

Vibaka wa ubungo, kimara kushuka chini hadi Kagera walikuwa wanamuheshimu na kumuogopa sana Midu Matembo.

Hamidu Matembo was frontin like kiongozi wa askari jamii/ ulinzi shirikisha but deep down alikuwa ndio kiongozi wa vibaka na waizi wote ubungo stendi.

Midu Matembo alikuwa ni kama vile defacto President wa vibaka wote kutoka Kagera, Manzese, hadi Kimara, walio kuwa wana piga mishe zao mitaa ya stendi ya Ubungo. Wote walikuwa wana ripoti kwa Midu Matembo.

Ukikwapua simu huko ukienda kuiuza lazima upeleke ganji kwa Midu.

Ishu zote chafu zilizokuwa zinafanyika mitaa ya Ubungo stand Hamidu alikuwa anazijua.

Sasa basi ilikuwa kama umeibiwa kitu chako cha thamani lets say laptop yenye documents zako muhimu au simu yenye namba zako muhimu na unataka uipate kwa haraka basi usijaribu kwenda sijui polisi waje wakusaidie kuwapata hao vibaka urejeshewe mali zako au usijaribu kufight wewe mwenyewe kwa sababu ukweli ni kwamba huwezi kuvipata.

UFANYAJE ILI UVIPATE?

Wewe nenda kwa Hamidu muombe akusaidie kupata vitu vyako. Kama Hamidu atakubaliana na ombi lako/ kama mtakubaliana kuhusu terms and conditions basi Hamidu atakwambia njoo baada ya lisaa limoja.

Hamidu anawajua vibaka wote wa ubungo na vibaka hao wana muogopa
,wana muheshimu na kumtii. So atakacho kifanya ni kuwaitavibaka hao na kuwaambia alie pora kitu fulani aki salimishe kwake mara moja. Then Hamidu atamrudishia ndugu muibiwaji mali zake
( Akina Hamidu Matembo wapo wengi sana nchi hii almost karibu kila mtaa)

Vivyo hivyo kwa Lucifer. Kwa mujibu wa mafundisho ya dini zote kuu mbili hapa Tz.

Lucifer ndio mkuu wa majini wachafu / malaika wachafu ( mapepo)

Na hao majini na malaika wachafu ndio chanzo cha matatizo ya wanadamu.

Kwa mfano kwa habari ya magonjwa ya kichawi majini wachafu na malaika wachafu ndio wana aminika kuwasababishia watu magonjwa ya kichawi.

Ukienda kwa mganga ambae ana connection na Lucifer ili utibiwe Maradhi yako ya kichawi ni lazima huyo jini aondoshwe kwanza na ili huyo jini aondoshwe atakacho kifanya huyo mganga ni kumuomba Lucifer aje awafukuze hao majini wachafu wanao msababishia maradhi mtu huyo.

Lucifer akitoa amri basi ni ndani ya sekunde chache tu hao majini wanaondoka wana muacha mgonjwa na mgonjwa anabaki salama akiwa na afya njema na majini hao hawatorudi tena kwa mtu huyo.

Wakati nafanya research yangu kuhusu uchawi na uganga nili watembelea waganga wengi wazito wazito na nilicho gundua ni kwamba hicho ndicho kinacho fanyika kwenye madhabahu zao.

Ukienda kwa mganga hasa hasa anae jihusisha na uchawi basi jua kuwa unaenda kwa wakala wa Lucifer na ukiona.mganga kamfukuza jini mchafu kwenye mwili wa mtu basi jua ni Lucifer ndio kahusika moja kwa moja. Hii ina wahusu zaidi walio tupiwa maradhi ya kichawi.

Kwanini Lucifer ambae anatajwa kuwa na uadui mkubwa na watu wa Mungu akuponye wewe mwanadamu maradhi yako?.kwa.sababu anataka umuabudu yeye kama vile vile.ambavyo.Mungu anataka.umuabudu yeye.. Lucifer anataka kupata kile.ambacho Mungu anakipata kwa kuabudiwa na watu. Kuna waganga wengi sana ambao wanatibu na kuponyesha kabisa maradhi ya kichawi lakini wengi wao wanatibu maradhi hayo kwa njia hii niliyo ielezea hapo juu. Kazi kwako ndugu unapoenda kwa mganga kutibu uchawi jua unaenda kujisalimisha kwa Kiongozi mkuu wa.majini ili awape amri wakuachie kisha yeye Lucifer ndio awe Mungu kwako.

Ukienda kanisani au msikitini ( polisi) utakuwa ni sawa na mtu alie enda kesi ya kuibiwa simu.polisi. unaweza.ukaipata.simu yako au usi upate na hata kama utaipata basi itakuchukua muda mrefu sana mpaka itakosa maana.. Unless otherwise ukutane na.polisi ( mchungaji/ shekhe).mwenye connection na mkuu wa vibaka ( Lucifer) ambae ataenda kuongea na mkuu huyo simu yako ipatikane kwa haraka.

Na hii ndio maana watu wengi wanao muomba Lucifer wanafanikiwa kwa haraka sana bali kujalisha wana muomba kwa kujua ama kwa kutokujua

Chaguo ni lako uende polisi au kwa mkuu wa vibaka
Msaada wa Lucifer kwa wanadamu ni kama chambo kwa samaki, lengo ni kumkamata mwanadamu. Msaada wa kweli kwa mwanadamu unatoka kwa Yesu Kristo.
 
Hapa umetudanganya. Pepo hawezi mtoa mpepo mwenzie maana ufalme wao utakuwa umefitinika. Waganga mara nyingi hulituliza tu pepo ila sio kulitoa.
Screenshot_20240228_060447_Biblia.jpg

Hata huko msikitini hawatoi pepo, bali huwa wanapunga Pepo tu kwa kuyabembeleza kwa "kumshika kiti" masikio au kumng'ata kidole kiti.

Mapepo hutolewa katika Mamlaka ya Jina la Yesu. Leo umetudanganya mkuu.
 
Hapa umetudanganya. Pepo hawezi mtoa mpepo mwenzie maana ufalme wao utakuwa umefitinika. Waganga mara nyingi hulituliza tu pepo ila sio kulitoa.
View attachment 2918652
Hata huko msikitini hawatoi pepo, bali huwa wanapunga Pepo tu kwa kuyabembeleza kwa "kumshika kiti" masikio au kumng'ata kidole kiti.

Mapepo hutolewa katika Mamlaka ya Jina la Yesu. Leo umetudanganya mkuu.
Usikariri mkuu
 
Back
Top Bottom