Rev Fr Masanilo

Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.

Hahahahahaah haya Kamanda! tupo pamoja...
 
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.

Mimi sipo Bujibuji...amani iwe nanyi!...Mbarikiwe!!
 
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.
nimekugongea thanks kwa sababu ya hapo kwenye red
 
Rev Masa V/s MS
MS ni kilaza hana uwezo wa kupambana na Rev Masa, kwanza MS kazi yake ni kuanzisha thread kujibu na kupangua hoja hajui, na hata kamaanajibu hujibu kichovu sana.
Lakini Rev ni jembe.
 
Yule lazima nimuelekeze Qibla!

seated-figure-sculpture-tim-kyle-seymour-centre-ns31.JPG
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom