Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,133
- 2,986
Achana na ile kirikuu yake , jamaa kwanza nampongeza kwa ule uthubutu.
Clouds wana bahati sana ya kuwa na mtu aina ya KP hasa kwenye kile kipindi chao cha ‘powerbreakfast’.
Huyu mwamba ukiachilia mbali zile katuni zake zenye kuleta ujumbe kitabu kwa kuzitazama na maneno machache.
Awapo radioni huwa yupo mbele ya muda, hakuna mada itapita bila kuichagiza kwa maswali magumu.
Nimeamua kuandika baada ya kumsikia leo asubuhi kuhusu NHIF na toto afya kuwa wanapokea michango ya 5bn lakini wao walitumia zaidi 30bn.
Alitania hivi ni kweli asprin, paracetamol, tetracyline ndizo zilitumia 30bn+. Kesho wataendelea na maswali juu ya NHIF na hayo matumizi.
Hiyo ni moja tu, lakini ndo yamekuwa maisha yake kutoa maneno mafupi yenye kuhoji kwa sauti.
Hakika KP wewe ni mtu bingwa sana. Mungu akupe maisha marefu.
Alamsiki JF.