A VILLAGER
Member
- Sep 29, 2012
- 27
- 6
Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!

Hao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.
TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
Hao jamaa naona hapa JF mnawapa airtime sana...tumechoka jamani kujadili akili ndogo
Si hayo tu ila wanasema leo wanaomboleza kwa yale mabaya aliyo wafanyia Nyerere, wala hawaoni haja ya kuadhimisha. na mwislamu yeyote atakaye mkumbuka Nyerere kwa lolote atakuwa anafanya kufuru kwa Allah!
hao jamaa hawan elimu kam m2 hat chekechea hajapitia unategemea nin?kusoma hujui hata kuona huon?Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!
Hao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.
TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
Hapo kwenye rangi nyekundu paangalie vizuri,kisha tafakari yafuatayo.
Avata yako inavutia kweli!kwanza umeliita toto inaonesha watoto wasomao Madrasa huwapendi kabisa ila unawapenda watoto wa kidato cha pili wanaokojolea misahafu ambayo huchochea uvunjifu wa amani kule Mbagala,Labda nikusaidie akihitimu madrasa atakwenda Udom kusomea Bachelor of Arabic na huo ni mfano tu vipo vyuo vingi tu duniani vinavyotambua elimu ya madrasa na katika Combination kama ulikuwa hujui kuna kombi inaitwa KIA(kiswahili,Islamic na Arabic) ambayo husomewa madrasa kisha unakwenda kufanya bachela huko unakojua.
Hao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.
TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
Hao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.
TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
mapadre wenye madegree ndo wameelimika kwa kubaka,kulawiti na kuwalala wake za watuHao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.
TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
Wana inferiority complex. Tuwabebe tu maana tukishindana nao TZ hapatatosha. Nawasikitia sana kwa uwezo mdogo wa kupambanua mambo.