duh,kwa mwendo MAN U waweza kuwa mabingwa.....:frusty:
hahahhaaaa,kivip???
duh,kwa mwendo MAN U waweza kuwa mabingwa.....:frusty:
duh,kwa mwendo MAN U waweza kuwa mabingwa.....<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/frusty.gif" border="0" alt="" title="Frusty" smilieid="189" class="inlineimg" />
mi na mambo ya mpira wala sipo!
ngapi ngapi wadau? cc huku hatuna Dstv
hahahhaaaa,kivip???
Aka ka messi katakuwa ka freemasnons tu..sijui ata kalitokea wapi kufunga..agrrrrrr!
sijafurahishwa na perfomance ya Barca na Real leo....:A S 39:
refa ameharibu mechi, final itakuwa Man u V's Barca
Adebayo ameamua kucheza rugby!
mfumo wa morinho ndio unaofanya mpira uwe hvyo