allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,013
- 9,711
Kwa wale mashabiki wa uefa champions league leo jioni tutegemehe kuona wababe wa ulaya nani na nani kukutana.
Mimi kwangu natamani sana hizi timu kuwa kundi moja.
Barcelona vs Man city
PSG vs Liverpool
Real madrid vs Chelsea
Bayern munich vs atletico madrid
Ni pale Istanbul Turkey
Pia tunzo ya mchezaji bora ulaya kutolewa leo wanaoa wania ni.
Thibaut courtois_Real Madrid
Karim benzema_Real Madrid
Kevin De Bruyne_Man city
Japo Benzema ana asilimia kubwa kuibuka kidedea.
Ni lini michezo ya hatua ya makundi itaanza?
Matchday 1: 6/7 September 2022Matchday 2: 13/14 September 2022
Matchday 3: 4/5 October 2022
Matchday 4: 11/12 October 2022
Matchday 5: 25/26 October 2022
Matchday 6: 1/2 November 2022
Lini hatua ya mtoano itaanza kuchezwa?
Round of 16: 14/15/21/22 February & 7/8/14/15 March 2023Quarter-finals: 11/12 & 18/19 April 2023
Semi-finals: 9/10 & 16/17 May 2023
Final: 10 June 2023