Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

sir alex ferguson nightmares came to reality..... tehtehtehe!! barca waleeeeeee!! as much as i hate barca.. i wont be comfortable kuwaona MAN UTD!! As champions .. BARCA!!:second:
 
Barcelonaaaaaaaaaaaaaaaaa atlast umeonesha umma wa haters sisi ni noma barca=futboli kata kubali hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hapo kwenye red naona umetaja lini ulianza kufuatilia el classico, hii link El Clásico - Wikipedia, the free encyclopedia itakusaidia kujibu hapo kwenye blue.
Anamaanisha Barca hii ya sasa(under Pep)

Historically RM ipo juu ya Barca, hasa wakati wa Mdikteta Francisco Franco(ambaye ndiye kiini cha uhasama mkubwa wa hizi timu),ambaye aliwahi kuingia kwenye dressing room ya Barca wakati wa mapumziko na kuwatisha ili wafungwe na RM. Na pia kumzuia Di Stefano asichezee Barca msimu mzima wa ligi. Hapo RM ikawa na advantage nyingi tu za kisiasa.
 
Back
Top Bottom