Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Unpredictable game....at least its intresting to watch si kama MAN U na Schalke....l.o.l
 
nasubiri ingine Wembley.....l.o.l.....go go Barca<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile-big.png" border="0" alt="" title="Smile Big" smilieid="287" class="inlineimg" />

Hahahaha! May 4 mbaaali...naaanza na tatu za ukwel Emirata wikend ii...jiandae...
 
Hahaha! Baba Mchungaj umeanza uchokoz....dakika 90 no shoti on goal, afu kuna mi asenol bado inaisapot Barca?, mweeeee!

dakika 90 zimeisha? unashangaa mi arsenal kusapoti Barca au una hofu zako?
 
dakika 90 zimeisha? unashangaa mi arsenal kusapoti Barca au una hofu zako?
</p>

I mean ile yenu na Barca, Camp Nuo...massarce....mlitoka bila ata shuti moja golini, sijui mlienda fanya nn?
Kwa ubakaj ule waliowafanyia sitegemei utakuwa na hamu nao, unless......
 
</p>

I mean ile yenu na Barca, Camp Nuo...massarce....mlitoka bila ata shuti moja golini, sijui mlienda fanya nn?
Kwa ubakaj ule waliowafanyia sitegemei utakuwa na hamu nao, unless......

nasubiri fainali Wembley.....yaliyopita si ndwele tugange yajayo....VIVA ARSENAL
 
errr apa n usanii kwenda mbele...washaharibu pilaula harusi awa....mijamaa ina lilalia.
 
This is rugby daaaah

Nakwambia! :( Miye wameniboa ile mbaya! Timu kubwa kama hizi badala ya kuonyesha kandanda ya hali ya juu imekuwa sarakasi tupu na ubabe wa hali ya juu! Bora ningeendelea na shughuli zangu tu :angry:
 
Back
Top Bottom