Rais wetu 2015 ni .....

Naam tutajuta sana nchi itazidi kwenda mrama kwa maamuzi ya kukurupuka na ya kifisadi.

Serikali inapata hasara ya mamilioni ngapi kwa cku kwa ufisadi wa Maghufuli kuuza nyumba za serikali?
Mbinafsi mkubwa. Mtendaji lakini ana mapungufu mengi. tutajuta akiwa Rais.
 
Wa mwisho kutoka CC alikuwa Benjamin wengine hawakustahili ila sio mbaya mwaka huu ndio mwisho wa systems za CC+ kufanya kazi tujitahidi kutumia hekima na uelewa wetu wa maisha magumu na kuibiwa mahela mengi.
 
MAGAMBA ni MAGAMBA TU. Magofuli hawezi kuongoza kwa maamuzi yake binafsi bila mwavuli wa chama.Lazima tufike mahali tuwe na akili Timamu. JK alipokuja kwa mara ya kwanza tulimuona ni mtu mzuri sana lakini mliona matokeo yake.Kwahiyo siamini kwamaba magofuli atakuwa na eneo lake nje ya CCM la kuongozea tusidanganyane. Watu wasiokuwa na msimamo utawajua. Siitaji kunywea mvinyo mpya kwenye Chombo cha zamani.
 
Oktoba 2011 cdm ilikuwa na sababu za kuingia ikulu lakini haikuwa na nguvu kama ilivyo leo 2015. Pia kabla ya hapo wapinzani walikuwa wanaijua nguvu na ghiliba za ccm kwa wapiga kura lakini walikuwa hawajajua wajipange vipi, pia udhaifu wa ccm ulikuwa haujapambanuliwa vizuri. Hivi leo wameshajua kuwa bila kuja kama UKAWA itakuwa kazi bure, pia matukio ya ufisadi wa kutisha yaliyotokea Dr. Magufuli akiwa ndani ya serikali yamepunguza sana nguvu ya ccm na kuongeza imani kwa wapinzani machoni pa wananchi.

Kilicho wazi na utabiri wako ni kuwa Dr. Magufuli atawasumua UKAWA lakini huu ni wakati wa CCM kuondoka na mwenyekiti keshasema kuwa hizi 'iyena iyena....' haziwezi kusawaidia.
 
Aiseee wewe jamaa ni hatari,pia kuna jamaa anaitwa Pasco na Maswi mmetabiri vyema kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom