Rais wetu 2015 ni .....

Mh. John Pombe Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Ben Mkapa yule rais aliyeuza rasilimali nyingi za nchi na kujitajirisha yeye na kakikundi kake akiwemo magufuli aliyechukua nyumba 3 au 5 za serikali. Ben Mkapa ni mtu wa karibu kiufisadi na Rostam Aziz, nimesema kiufisadi kwani huu mfumo unawaunganisha wengi siyo lazima wawe na itikadi moja ya kisiasa, au urafiki wa karibu, ni kimfumo zaidi. Naam! sasa RA ni swahiba wa mh Edward Lowassa, na hapa sasa tunamuona RA, EL, Mkapa na Crew zima ya mafisadi wakifurahia unachoongea wewe mweka thread, kutupumbaza na tuwape kura waendeleze mfumo wao wa kinyonyaji. Angalia kampeni za igunga zilivyoenda kama una mashaka na mimi-mkapa, Dr Kafumu,(aliyempa mkapa kiwira) magufuli, jan makamba, (mfuasi muhimu wa mfumo wa kifisadi), nk
Kama ulikua hujui jua hilo, kama ulikua unataka kupima kama sisi tunajua au hatujui, tunajua, kama umetumwa na wakuu wako kutuchunguza hapa basi endelea kutuchunguza woga umetuishia inaf iz inaf

Mkuu, umeongea ukweli. huyu jamaa anaurafiki na mafisadi, tatizo la mwanzisha thread anachotaka yy ni rais mchapakazi hata kama akiwa fisadi., ina maana hajaona kama dr slaa anatufaa kuwa rais?
 
Magufuli ni dalali muuza nyumba za umma! Kiukweli anajua kusimamia kila kitu anachoagizwa hata kama ni makosa! Mwacheni amalizie kuhesabu km za barabara!
 
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.



shibuda
 
Hizi ni dalili za umaskini wenu wa fikra...ivi kwa nini mnawashwa mnashindwa kufanya kazi?mtakufa maskini kwa kuwaza urais...badilikeni.
 
wote magufuli na slaa hata wawe chama gani hawafai kwa tabia zao.ni watu ambao mtu akipata tabu au kulipiza wanaona raha

naomba usirudie tena kumlinganisha sla'a na maghufuli ....We need CDM +Slaa and not Maghufu+ccm? over
 
Magufuli is not good, and Slaa is not good either. They are all tempered. I propose Mr II a.k.a SUGU
 
hapo kijana Magnificient umenena hata mimi CHADEMA DAMU na Mwanachama kwa maoni yangu ndani ya CCM namuona MAGUFULI tu, but Kamati kuu ya MAGAMBA wanamwogopa sana kwamba akishika nchi atawabuluza mafisadi. tuombee wansimamishe uchaguzi ujao.
Nendeni CCM mkamuunge mkono aupate urais. Kwa nini muwe CHADEMA na mtu wenu yuko CCM? Opportunists.
 
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.



Umeshanunuliwa wewe tayari.Ndo kwanza mwaka mmoja umepita tangu tumalize uchaguzi mkuu,na kuna miaka minne mbele.Ni mda muafaka wa viongozi kutekeleza aahadi zao.
 
NGOJA NIWAAMBIE MAGUFULI ANAFAA KUWA WAZIRI MKUU RAIS PENGINE MUWE NA MHE.pINDA AMA MAKONGORO NYERERE,,DK SLAA PIA HAFAI KUWA RAIS COZ HANA BUSARA WALA HEKIMA ANA WAKE WENGI NDOA HANA ANACHUKUA WATOTO WA WATU BILA KUTOA MAALI,,PENGINE mHE.pINDA NA mAKONGORO ANGALAU WANAWEZA KUTUSAIDIA
 
People sometime they do change, he may change... Wengi mbona wanabadilika... Hata magufuli aweza badilika... Tena as you know politics anaweza badili chama ikibidi, ila tumpe muda tumsome kwa sasa, tusitumie sana historia ya nyuma kum-judge... Let us wait and see
 
Nenda ukamuulize Magufuli atawachagua akina nani kua wasidizi wake, kibaya zaidi mfumo unaomchagua Magufuli ngani ya ccm ndo kibovu na kitu kibovu hakiwezi zaa chema hata siku moja.

Cha kushangaza kwa waTanzania kila siku wanalilia mfumo mbovu ndani ya ccm, hakiwezi kurekebishwa watu wakiwa ndani mpaka waondoke kwanza.

VOTE NO TO CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom