Rais wetu 2015 ni .....

ki ukweli,me ni CHADEMA damu,bt nina akili timamu! Sitachagua chama hata siku moja,nitachagua mtu,hiyo ndo falsafa yangu!
In Magufuli,I trust! Na ndiye pekee ninayeweza kumpigia kura pale MAGAMBA kwa sasa,hzo ishu za NHC hata sijali,najali utendaj kazi wake,naamin pa1 na kwamba Jk ni fisadi,angeplay role yake kama rais ipasavyo,asingelaumiwa kias hiki!
Hapa sasa huoni kwamba unapoteza muda mwingi kujidanganya mwenyewe. Hata kama ungekuwa CCM damu.. Hakuna mtu anaye kuwekea kisu mapajana ukampigie kura Lowassa. Wapo watu kama mimi ambao huwezi kunidanganya lolote kuhusiana na huyu ---- Magufuli. Hapa CCM wameokota dodoki mzee. Hawezi kuwa Rais wa Tanzania.
 
Hongera Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Tunangoja nchi ya viwanda na mahakama za mafisadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom