Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel

kwa kwa kiswahili ntasikiliza kama english mtanisimulia maana ndugu yetu kwenye iyo lugha ya kigeni huwa namwonea huruma sana
 
Nadhani atatumia lugha ya kiingereza...Umesikia wanasema 'He is a very special man'
Mimi naogopa kusikiliza kama ni kwa lugha ya Malkia maana lugha gongana kwa mkulu
 
huyu bono ni nani.anasifia bongo kashapewa ardhi huku sijui wapi jamani tumeuzwa tena yaani mpaka kwenye tv live hekta hapo amewapa.
 
Hata mimi nimeshangaa mbona anaisifia sana Tz. TUMEUZWAAAAAAAA???????
Hapa ngoja nijicontradict mwenyewe...Nimependa pale tu aliposema Mt. Kilimanjaro..Wakenya mpo hapo imekula kwenu!
 
yan mukulu sasa kaamua kutuliza live,mpk bono anataja atwn,kashapewa ekari za kutosha.kashamaliza.mtangazaji alitakuka kuchomekea swali kuwa vp m4c mkulu akaanza kuinuka.
 
CC ya CCM ambayo yeye Kikwete alikuwa mwenyekiti wake wamesema kwa kauli moja ardhi ibakie mikononi mwa serikali. Siku mbili baadae anapanda ndege kwenda Marekani na anafanya exactly the opposite! Nape Nape!

@MODs, hii thread inastahili kuwa kwenye jukwaa la siasa.
 
acha NEC ya ccm na serikali waongee,sisi wanyenchi ndio tuna final say!
 
Back
Top Bottom