Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
---
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC wanavyovaa.
Rais Samia ameyasema hayo leo Ijumaa, Machi 8, 2024 wakati wa mahojiano ya ana kwa ana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd (MCL), Bakari Machumu kwenye kongamano la The Citizen Rising Woman linalofanyika ukumbi wa The Super Dome jijini Dar es Salaam
Source: Mwananchi