Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa upande unaoongozwa na CHADEMA kwa sababu kwa vyovyote vile lolote utakalosema litakuwa ni upande wa CCM ila inaweza kufanyika vinginevyo kulingana na busara zako zitakavyokuongoza.

Ni ukweli usiopingika suala hili lina matokeo chanya na hasi kwenye siasa hususani za CCM. Matokeo chanya ni pale ambapo uwekezaji utaanza kuonyesha faida zinazosemwa Sasa na matokeo hasi ni pale ambapo wanaopinga Sasa wakawa wapo sahihi kwenye kupinga kwao na faida zisionekane. Matokeo hasi yatakitesa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu hususani katika masuala yanayohusu uwekezaji.

Licha ya kwamba yanayopingwa yanaweza kuwa kweli Kwa sababu hakuna ajuaye ya kesho lakini mtazamo na maoni yangu kwenye suala hili utabaki uleule CCM ISIRUDI NYUMA KWENYE UWEKEZAJI WA BANDARI KWA SABABU KURUDI NYUMA SASA HAKUTAKUWA NA NJIA YA MWENDA MBELE BAADAYE.

Ni wakati wa kuendelea kuziba masikio Mhe.Rais, yanayoongelewa kuhusu DP WORLD jifanye kama hujawahi kuyasikia wala huyasikii maana Kwa Sasa upo kwenye jaribu kubwa:

Kwanza, wanaopinga wanataka ufanye uamuzi wa kusitisha makubaliano hayo ili wapate sababu ya kuongea Zaidi. Ukisitisha Sasa itaonekana ni kweli kulikuwa na nia ovu kwenye makubaliano, taswira ya Chama itakuwa mbaya na itahitajika nguvu kubwa kuisafisha.

Pili, ukisitisha Sasa CCM itabidi Ile matapishi yake. Nguvu iliyotumika kuelimisha umma juu ya umuhimu wa makubaliano na uwekezaji huu itakuwa kazi Bure. Hakuna jambo gumu duniani kama kula matapishi maana itabidi watu wasio na kinyaa wafanye hivyo.

Baada ya kutambua haya napenda kuchukua nafasi hii kukuomba Mhe.Rais:

Kwanza, nakuomba uwe na Imani juu ya dhamira na nia yako Kwa Taifa. Kutaka kuwepo Kwa uwekezaji huu ni dhamira njema uliyonayo ya kuliletea Taifa maendeleo hivyo lolote litakalotokea tutailinda na kuitetea dhamira yako na mapenzi makubwa uliyonayo Kwa Taifa letu.

Pili, nakuomba usiongee lolote juu ya uwekezaji na DP WORLD Kwa Sasa. Wasaidizi wako ndani ya CCM na Serikali watakusaidaia kulisema. Wanataka uongee kitu ili waendelee kusema, mlengwa mkuu mikutano wanayofanya ni wewe, hivyo ninakuomba usiongee lolote.

Tatu, ninakuomba utumie busara zako kupanga safu nzuri ya kuhakikisha uwekezaji unakuwa ni wenye tija na matokeo makubwa ya uwekezaji yanaonekana haraka.

Kwa kufanya hivi Mhe.Rais utakuwa si tu umewajibu wanaopinga uwekezaji bali itakuwa ni pigo Kwa wote wenye lengo la kufanya au kuendeleza kufanya siasa kwenye maendeleo ya nchi.
 
Ushauri mbovu sana.
Mpasuko wa Muungano uko kwenye 120KM/Hr.
Migogoro na majibizano ya kidini yapo 160KM/hr.halafu kuna mpuuzi mmoja anakwambia endelea hivyo hivyo usitie breki.
Matokeo yake ni Mochwari tu
 
Ona huyu naye
 
Uonavyo Rais amekosa washauri mpaka akusikilize wewe ambaye hata mawasiliano yako umeogopa kuweka?

Unhemwandikia barua labda angeweza kusoma aone kama una point. Uandishi wako hapa ninahisi umelenga kujionyesha kuwa una akili sana na kumwonyesha Rais kuwa amekosa washauri makini.

Jipime... chukua hadhari kabla hujaandika jambo linalomhusu Rais. Unaweza kufikiri unajijengea CV lakini kumbe unajiharibia.
 
Aongee anajua nini ye kapewa kusaini tu...ye mwenyewe mgeni kwenye suala hilo.
 
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa.
Kwanza nikupongeze Mkuu Karlo, KARLO MWILAPWA kwa bandiko hili, kwasababu baadhi ya hoja zako zina mashiko, na kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Pili niungane na wewe kuhusu uwepo wa pande mbili kuhusu hii issue ya IGA ya DPW na Bandari zetu.

Kuna wanaounga mkono na wanaopinga, Ila naomba nitofautiane na wewe kuhusu pande za kisiasa, ni kweli zipo ila sii kila anayepinga ni anapinga kisiasa!. Kuna kundi kubwa linalopinga, na upinzani wa kupinga sio kupinga uwekezaji huu wa DPW na Bandari zetu bali kinachopingwa ni ile IGA. Mimi ni kada wa CCM, ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na ni mwanasheria, na wakili wa kujitegemea, nasisitiza hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari, napinga, mkataba wa ajabu sana wa IGA Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM.
Haya kweli ni makundi ya kisiasa, very unfortunately wote ni wapiga kelele tuu, upinzani wa kweli wa issue hii umetolewa na TLS, Prof. Anna Tibaijuka, Prof. Issa Shivji, na wanasheria kibao Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
Licha ya kwamba yanayopingwa yanaweza kuwa kweli Kwa sababu hakuna ajuaye ya kesho
Sio yanaweza kuwa kweli, bali ni kweli kuna mambo hayajakaa vizuri kwenye hili, we have always been doing the same mistakes kwenye hii mikataba mikubwa na matokeo yake we suffer the consequences!,na tupo tunaojua ya kesho, tumeishauri serikali yetu what to do to correct the mistakes Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
lakini mtazamo na maoni yangu kwenye suala hili utabaki uleule CCM ISIRUDI NYUMA KWENYE UWEKEZAJI WA BANDARI KWA SABABU KURUDI NYUMA SASA HAKUTAKUWA NA NJIA YA MWENDA MBELE BAADAYE.
Naunga mkono hoja Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
Ni wakati wa kuendelea kuziba masikio Mhe.Rais, yanayoongelewa kuhusu DP WORLD jifanye kama hujawahi kuyasikia wala huyasikii maana Kwa Sasa upo kwenye jaribu kubwa:
Huu sio ushauri wa mzuri!. Rais sio mwanasheria hivyo naunga mkono asiliongelee hili, ila asizibe masikio!. Hoja za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria zijibiwe kisheria na sio kisiasa!.
Kwanza, wanaopinga wanataka ufanye uamuzi wa kusitisha makubaliano hayo ili wapate sababu ya kuongea Zaidi.
Sii kweli na sii wote, tuko tunaopinga hii IGA batili na tunataka HGA halali! na tumeshauri Wajua Kuna Ndoa Halali, Batili na Batilifu?. Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji?. Wajua Ubakaji unaweza kuwa Halali?. IGA Batili Yaweza kuzaa HGA Halali?.
Ukisitisha Sasa itaonekana ni kweli kulikuwa na nia ovu kwenye makubaliano, taswira ya Chama itakuwa mbaya na itahitajika nguvu kubwa kuisafisha.
Naunga mkono hoja
Pili, ukisitisha Sasa CCM itabidi Ile matapishi yake. Nguvu iliyotumika kuelimisha umma juu ya umuhimu wa makubaliano na uwekezaji huu itakuwa kazi Bure. Hakuna jambo gumu duniani kama kula matapishi maana itabidi watu wasio na kinyaa wafanye hivyo.
Naunga mkono hoja nami niliwahi kuuliza humu kuhusu hili Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
Kwanza, nakuomba uwe na Imani juu ya dhamira na nia yako Kwa Taifa. Kutaka kuwepo Kwa uwekezaji huu ni dhamira njema uliyonayo ya kuliletea Taifa maendeleo hivyo lolote litakalotokea tutailinda na kuitetea dhamira yako na mapenzi makubwa uliyonayo Kwa Taifa letu.
Naunga mkono hoja na kwenye hili wengi tuko pamoja nae na Bandari ni mwanzo tuu Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Pili, nakuomba usiongee lolote juu ya uwekezaji na DP WORLD Kwa Sasa.
Naunga mkono hoja
Wasaidizi wako ndani ya CCM na Serikali watakusaidaia kulisema.
Naunga mkono hoja, wasaidizi wake na CCM waendelee kulitetea ila sio kwa kujibu hoja za kisheria kwa mujibu ya kisiasa!. Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa, hoja za kisheria zijibiwe kisheria.
Wanataka uongee kitu ili waendelee kusema, mlengwa mkuu mikutano wanayofanya ni wewe, hivyo ninakuomba usiongee lolote.
Naunga mkono hoja
Tatu, ninakuomba utumie busara zako kupanga safu nzuri ya kuhakikisha uwekezaji unakuwa ni wenye tija na matokeo makubwa ya uwekezaji yanaonekana haraka.

Kwa kufanya hivi Mhe.Rais utakuwa si tu umewajibu wanaopinga uwekezaji bali itakuwa ni pigo Kwa wote wenye lengo la kufanya au kuendeleza kufanya siasa kwenye maendeleo ya nchi.
Naunga mkono hoja.
P
 
Acha akae kimya, sisi tunachanja mbuga kuwaambia wananchi kuwa kama Magufuli kasema aliyeuza bandari moja ni kichaa je aliyeuza zote huyo nani?

Mwache huyo mama atulie hivyohivyo kama yuko saluni ananyolewa!
 
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa upande unaoongozwa na CHADEMA kwa sababu kwa vyovyote vile lolote utakalosema litakuwa ni upande wa CCM ila inaweza kufanyika vinginevyo kulingana na busara zako zitakavyokuongoza.

Ni ukweli usiopingika suala hili lina matokeo chanya na hasi kwenye siasa hususani za CCM. Matokeo chanya ni pale ambapo uwekezaji utaanza kuonyesha faida zinazosemwa Sasa na matokeo hasi ni pale ambapo wanaopinga Sasa wakawa wapo sahihi kwenye kupinga kwao na faida zisionekane. Matokeo hasi yatakitesa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu hususani katika masuala yanayohusu uwekezaji.

Licha ya kwamba yanayopingwa yanaweza kuwa kweli Kwa sababu hakuna ajuaye ya kesho lakini mtazamo na maoni yangu kwenye suala hili utabaki uleule CCM ISIRUDI NYUMA KWENYE UWEKEZAJI WA BANDARI KWA SABABU KURUDI NYUMA SASA HAKUTAKUWA NA NJIA YA MWENDA MBELE BAADAYE.

Ni wakati wa kuendelea kuziba masikio Mhe.Rais, yanayoongelewa kuhusu DP WORLD jifanye kama hujawahi kuyasikia wala huyasikii maana Kwa Sasa upo kwenye jaribu kubwa:

Kwanza, wanaopinga wanataka ufanye uamuzi wa kusitisha makubaliano hayo ili wapate sababu ya kuongea Zaidi. Ukisitisha Sasa itaonekana ni kweli kulikuwa na nia ovu kwenye makubaliano, taswira ya Chama itakuwa mbaya na itahitajika nguvu kubwa kuisafisha.

Pili, ukisitisha Sasa CCM itabidi Ile matapishi yake. Nguvu iliyotumika kuelimisha umma juu ya umuhimu wa makubaliano na uwekezaji huu itakuwa kazi Bure. Hakuna jambo gumu duniani kama kula matapishi maana itabidi watu wasio na kinyaa wafanye hivyo.

Baada ya kutambua haya napenda kuchukua nafasi hii kukuomba Mhe.Rais:

Kwanza, nakuomba uwe na Imani juu ya dhamira na nia yako Kwa Taifa. Kutaka kuwepo Kwa uwekezaji huu ni dhamira njema uliyonayo ya kuliletea Taifa maendeleo hivyo lolote litakalotokea tutailinda na kuitetea dhamira yako na mapenzi makubwa uliyonayo Kwa Taifa letu.

Pili, nakuomba usiongee lolote juu ya uwekezaji na DP WORLD Kwa Sasa. Wasaidizi wako ndani ya CCM na Serikali watakusaidaia kulisema. Wanataka uongee kitu ili waendelee kusema, mlengwa mkuu mikutano wanayofanya ni wewe, hivyo ninakuomba usiongee lolote.

Tatu, ninakuomba utumie busara zako kupanga safu nzuri ya kuhakikisha uwekezaji unakuwa ni wenye tija na matokeo makubwa ya uwekezaji yanaonekana haraka.

Kwa kufanya hivi Mhe.Rais utakuwa si tu umewajibu wanaopinga uwekezaji bali itakuwa ni pigo Kwa wote wenye lengo la kufanya au kuendeleza kufanya siasa kwenye maendeleo ya nchi.
Umeshauzwa wewee...
🤣🤣🤣🤣
 
Kuna miaka michache mbele makaburi ya huyu maza na yule babu wa msogha yatafukuliwa na kuchomwa moto kwa huu uovu!
 
Aongeee nn sasa wakati keshakimbia nchi INAONEKANA we bado mbumbumbu Jibu Hoja kauza kakodisha au katoa bure bandari zetu
 
Uonavyo Rais amekosa washauri mpaka akusikilize wewe ambaye hata mawasiliano yako umeogopa kuweka?

Unhemwandikia barua labda angeweza kusoma aone kama una point. Uandishi wako hapa ninahisi umelenga kujionyesha kuwa una akili sana na kumwonyesha Rais kuwa amekosa washauri makini.

Jipime... chukua hadhari kabla hujaandika jambo linalomhusu Rais. Unaweza kufikiri unajijengea CV lakini kumbe unajiharibia.
Yaani unamshauri kiongozi akae kimya ili wananchi waendelee kuteseka na roho zao!?

Sasa hii imekuwa nchi au Genge la Waimba taarabu!!

Washukuru sana Mods, ningekushushia tusi la juu zaidi kwa ukubwa.

Nguruwe tasa
 
Kwanza nikupongeze Mkuu Karlo, KARLO MWILAPWA kwa bandiko hili, kwasababu baadhi ya hoja zako zina mashiko, na kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Pili niungane na wewe kuhusu uwepo wa pande mbili kuhusu hii issue ya IGA ya DPW na Bandari zetu.

Kuna wanaounga mkono na wanaopinga, Ila naomba nitofautiane na wewe kuhusu pande za kisiasa, ni kweli zipo ila sii kila anayepinga ni anapinga kisiasa!. Kuna kundi kubwa linalopinga, na upinzani wa kupinga sio kupinga uwekezaji huu wa DPW na Bandari zetu bali kinachopingwa ni ile IGA. Mimi ni kada wa CCM, ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na ni mwanasheria, na wakili wa kujitegemea, nasisitiza hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari, napinga, mkataba wa ajabu sana wa IGA Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Haya kweli ni makundi ya kisiasa, very unfortunately wote ni wapiga kelele tuu, upinzani wa kweli wa issue hii umetolewa na TLS, Prof. Anna Tibaijuka, Prof. Issa Shivji, na wanasheria kibao Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.

Sio yanaweza kuwa kweli, bali ni kweli kuna mambo hayajakaa vizuri kwenye hili, we have always been doing the same mistakes kwenye hii mikataba mikubwa na matokeo yake we suffer the consequences!,na tupo tunaojua ya kesho, tumeishauri serikali yetu what to do to correct the mistakes Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

Naunga mkono hoja Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

Huu sio ushauri wa mzuri!. Rais sio mwanasheria hivyo naunga mkono asiliongelee hili, ila asizibe masikio!. Hoja za kisheria zilizoibuliwa na wanasheria zijibiwe kisheria na sio kisiasa!.

Sii kweli na sii wote, tuko tunaopinga hii IGA batili na tunataka HGA halali! na tumeshauri Wajua Kuna Ndoa Halali, Batili na Batilifu?. Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji?. Wajua Ubakaji unaweza kuwa Halali?. IGA Batili Yaweza kuzaa HGA Halali?.

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja nami niliwahi kuuliza humu kuhusu hili Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.

Naunga mkono hoja na kwenye hili wengi tuko pamoja nae na Bandari ni mwanzo tuu Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja, wasaidizi wake na CCM waendelee kulitetea ila sio kwa kujibu hoja za kisheria kwa mujibu ya kisiasa!. Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa, hoja za kisheria zijibiwe kisheria.

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja.
P
We nawe!

Yaani ukijibu hoja ya mtu ni lazima urundike manyuzi yako yasiyo na kichwa wala kiuno. Unafikiri kuna mtu atakwenda na kuyasoma ili kujua ulisema nini? Mbona usifanye tu summary ya hoja zako bila kurundika manyuzi yako ya zamani?

Mayala = manjaa makubwa!
 
Tambua kwamba mama ndo anaeikomboa hii nchi hivi ujawaza kwanini hayo chadema kipindi hiki awapigwi mabomu ya machozi
 
Mheshimiwa Raisi ni muamini wa utawala wa Sheria. Jambo hili liko mahakamani kwa Sasa, kelele za Nini? Akiongea ongea mtaanza kusema ana manipulate maamuzi.

After all Raisi ni high office, sio Kila jambo hata la ajabu ajabu na Kila wakati kutoa matamko.

Hongera Mheshimiwa Raisi
 
Ushauri mbovu sana.
Mpasuko wa Muungano uko kwenye 120KM/Hr.
Migogoro na majibizano ya kidini yapo 160KM/hr.halafu kuna mpuuzi mmoja anakwambia endelea hivyo hivyo usitie breki.
Matokeo yake ni Mochwari tu
Unataka kusikia nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom