Rais Samia awasili nchini Ethiopia

View attachment 2907412

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.

Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Ila Mama anapiga Pamba kweli kweli
 
Moja ya kazi anaenda kufanya huko ukiacha kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa AU ni hii hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C3eoYcWqNqQ/?igsh=ejN2MjN4dDBnbGMz
 
Kukiwekwa mifumo maalumu ya utambuzi, origin, umiliki, kuwepo authority maalumu kama verifier before sales, tutashinda, yapewe restriction kali, kama pembe za ndovu, lakini kuwepo mamlaka maalumu ya kuthibitisha, uswiss.
N. B, Ili uuze madini iwe ni lazima uombe kibali, wakaguzi wakague wathibitishe origin, ndipo yauzwe, endapo kama tumechoka na migogoro Afrika, 90% percent ya migogoro imesababishwa na madini, Africa.
Na wasababishaji wakuu wa hizo vita ni hao minerals Don’s ambao ndio pia weapons supplies !
Vita zikipiganwa wao wanapata wakitakacho kwa bei ya Chee. !!
Wanatumia principal ya divide them and get what you need !!
Na mara zote ni lazima wawatumie rebels kukianzisha !
 
Apunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Kweli aisee. Dah huyu mama ni Rais wa safari sio Rais wa wananchi. Utadhani amebet na mtu kuwa mpaka nimalize urais nataka niguse nchi 1000.
Mbona anao wasaidizi wengi tu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Soko la hapa Nchini lenyewe halina Umeme huu sasa ni wakati muafaka wa kujali siasa za ndani siasa za sijui kumkomboa mtu ndio zimetufanya tuwe masikini wa kutupwa.

Tulikwenda kupigana Msumbiji mara mbili lakini leo Watanzania huwa wanafukuzwa kama Mbwa Msumbiji.

Sasa hivi Askari wa Afrika Kusini wameuwawa huko Kongo hao watu wana familia wameacha Watoto ambao leo hii wanakuwa mayatima.

Madness
Mwanajesh hufia vitani ulitaka afie kwenye kinena cha mwanamke!
 
Wazazi wa huyu mama hawakukitambua kipaji chake akiwa mtoto wakiendeleze. Alipaswa kuwa baharia au dereva wa malori ya masafa marefu sio mwanasiasa.
 
View attachment 2907412

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.

Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Hivi kabakiza nchi ngapi , ningependa kujua aisee
 
Huyu ajifunze kuwakilishwa atadhurika afya jamani...anasafiri nje kuliko anavyoenda kwao kusalimia!!!
Mwakani atatakiwa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni na kampeni itakuwa ngumu!!
Embu madaktari wamrekebishie ratiba asiteseke hivyo.
Kiongozi unaenda kujadili yawengine huku nchi Yako Iko gizani na wananchi wanalia hakizao kuwa ngumu...unapatawapi ujasiri huoo??
Ila huyu MTU Kwa kweli,yani unawaza sijui anatuona wajinga
 
kiukweli uwezi kuwalizisha binadamu wote.
Magu hakua na safari za nje mara kwa mara watu waliona tatizo,kaja Rais wa kupaa hewani muda mwingi watu wanaona tatizo.
 
Back
Top Bottom