Amemwacha Makonda huko nyumbani ashughulike na watu hata akina Majaliwa.Apunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Amemwacha Makonda huko nyumbani ashughulike na watu hata akina Majaliwa.Apunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Mbona magu hakuwai kwenda na maisha halienda, hata gharama za maisha hazikua juu kiasi hikiMkutano wa AU Head of States huko pia mnasema ni "kukata mbuga"?.
Askari wetu wasiende kufa bure Kongo Maza awe mkali kwa Tishekedi.
Nchi ingekuwa na wananchi wanaojitambua alipaswa kufukuzwa magogoni haraka!Apunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Chadema na CCM wezi walisema eyinilikuwa ushamba kwa magufuri kukaa nchini ,,sasa mmepata mnachokitakaMbona magu hakuwai kwenda na maisha halienda, hata gharama za maisha hazikua juu kiasi hiki
Ukistaafu kula ugali wa Shemeji utajua umuhimu wa Congo kwa biashara ya Bandari yetuSoko gani unataka wakati hata kuzalisha huzalishi chochote, na wala umeme wa kuwasha kibatari huna, waswahili porojo tuu, lini mtakuwa serious nyie?
Pambana kivyakoMbona magu hakuwai kwenda na maisha halienda, hata gharama za maisha hazikua juu kiasi hiki
Huyu raisi mpuuzi mnoApunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
Yale ya Arusha yafanywe kwa kushtukiza.....Sasa nimeamini,
Safari hizi ni kukwepa maandamano na kusikilizia kero za wananchi.
Ajiandae tu kwakweli.
Wanataka Rais aje kariakoo kusikiliza kero za wananchi. Sasa akina makonda watafanya nn.Mkutano wa AU Head of States huko pia mnasema ni "kukata mbuga"?.
Askari wetu wasiende kufa bure Kongo Maza awe mkali kwa Tishekedi.
Alitonywa kuna konteza zimekuja na mzigo sio ikamuuliwa zirudi zilipotokaKhaaaa nikijua wakeleta madege yao....kumbe zimepita hapa hapa hatari sanaaa sasa zinatupiga wenyewee....pia tuamke naona sabotage siku moja tukipigwa hapa ndani sbb kuwapelekea moto huko DRC soon.....
Makonfa akafyatue watotoWanataka Rais aje kariakoo kusikiliza kero za wananchi. Sasa akina makonda watafanya nn.
Kinachofanya awe huru kiasi hiki ni kuwa hategemei kura za wananchi kubaki kuwa rais. Mpaka tutakapokuwa na uchaguzi huru ambao unatoa fursa kwa wananchi kuchagua viongozi wao, kila rais atakayeingia hataogopa wananchi.Huyu ajifunze kuwakilishwa atadhurika afya jamani...anasafiri nje kuliko anavyoenda kwao kusalimia!!!
Mwakani atatakiwa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni na kampeni itakuwa ngumu!!
Embu madaktari wamrekebishie ratiba asiteseke hivyo.
Kiongozi unaenda kujadili yawengine huku nchi Yako Iko gizani na wananchi wanalia hakizao kuwa ngumu...unapatawapi ujasiri huoo??
Hamna kheri nyie nchi ilifungwa kila kona amefungua sasa mnaanza porojoKiguu na njia
Hakuna maandamano hayo ni matembezi ya cdmApunguze safari atume wawakilishi huku kuna maandamano vitu vinapanda bei, umeme hakuna
TrueNchi ingekuwa na wananchi wanaojitambua alipaswa kufukuzwa magogoni haraka!