Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,309
- 30,941
ebwana sometimes nachomoka nasingizia naenda haja. 3 minutes enough kuchek na kucoment halaf narud kuosha vyomboAaaaah dont destruct your important box carryng job for this ceap politics kaka, unaangalia JF kidogo kisha unaendelea na kazi. Hizi siasa tuachie wenyewe, tutasoma vituko vya aina zote mwaka huu, na imeshajulikana ukisema sana unapata uteuzi.....
cc Nyani Ngabu