Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa Rais wetu anaumizwa na maisha ya shida yanayowasibu asilimia kubwa ya Watanzania. Hana makuu pamoja na kuwa ni Rais. Sijaona yeye kwenda kula good time nje wakat watanzania wanataabika.
 
Hapa siyo suala la uoga, kwanini niwe mwoga?! Nasema tu kuhusu hali halisi kuhusu andiko lako.
Kisheria lina tatizo gani: jitu ni mtu mwenye miraba minne, au...... Ndiyo maana nakwambia PCCB huwa wanashindwa kesi nyingi. Hapo andiko lina tatizo gani?
 
Al bashir, angalia kila mmoja anakuona punguani, stop that! It is strange unaonekana kuandika ka kiingereza vizuri (maana kwa nchi zilizotawaliwa na mwingereza kujua kiingereza ni dalili kuwa umeenda shule kwa kiasi fulani) , lakini umeandika mambo ya hovyo. Eti unaishi sawa na Rais, unajua kuwa huyo ana kanisa lake pale chato! Unatoa impression kuwa ni masikini kama wewe au mimi, stop that, acha mapenzi ya kike maana mwanamke akipenda huwa haambiwi lolote na huwa hafikiri

Ni mawazo yangu mkuu na muono wangu mdogo, But binadamu hatufanani kiakili we are different for everything lakini mawazo ya kwako mazuri na ya kwangu yenye uelewa mdogo yakichukuliwa na kuwekwa pamoja we can make something for benefit of our country mkuu
 
Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa Rais wetu anaumizwa na maisha ya shida yanayowasibu asilimia kubwa ya Watanzania. Hana makuu pamoja na kuwa ni Rais. Sijaona yeye kwenda kula good time nje wakat watanzania wanataabika.

Real Mkuu. Anajaribuu kuvaa uhalisia wa maisha yetuu
 
mtu anakaa ikulu jumba lenye kila kitu cha starehe unasema anaishi kama wewe? ahame ikulu akaishi buguruni kwa mnyamani ndio tutajua anaishi kikawaida
Umechanganya Mkuu mleta mada anazungumzia chato home kwa magu sio ikulu.
 
Pale unapovua kofia ya urais na kuwa kama raia wa kawaida, we unafikiri wale jamaa wa Ferry waliokua wanaokota nae takataka pamoja walijisikiaje..
Tatizo kujisikia hakubadilishi maisha.

Niambie anavyobadilisha maisha.

Kujisikia hata movie tu inaweza kubadilisha unavyojisikia.

Magufuli kama anataka kuwa humble consistently aache kujifanya anajua kila kitu na kusikiliza watu.
 
Watu wamelishwa unga wa ndere...

N mwendo wa vigeregere tuhakuna kufikiri...

Kwahiyo wewe mleta mada unaishi maisha sawa na Magufuri...?

unga wa ndere ndio kitu gani
hicho, hebu fafanua kidoogo.
 
Absolutely, Kumbe una akili sanaa
Al Bashir, kuna vitu ambavyo walio wengi wanaviona vya kweli. Kuna concepts, which are public, and non concepts which are private. It is true huwezi fikiri kama ninavyofikiri mimi, BUT though BEAUTY IS NOT A CONCEPT, BUT A BEAUTIFUL THIS IS APPRECIATED BY MANY! Una mawazo yako, lakini angalia wengi wameyakataa! Kwa hiyo kuna tatizo na kufikiri kwako
 
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha
wewe hauna lolote bali ni uogo tu wa sheria ya mtandao na kutaka kujipendekeza huko kwa rulling class/top brass lakini ukweli wote unaujua.
 
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha

Mtanzania halisi haishi kwa mshahara 9.5Mill kwa mwezi, sorry BUNDLE yangu imeisha
 
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha
Mtanzania halisi haishi kwa 9.5Mil kwa mwezi bhana!!! sorry BUNDLE imeniishia
 
Back
Top Bottom