Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA.

Leo 17:30hrs 15/03/2024

Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya watu wakati tulionao sasa,tunapokumbuka mema au mapungufu ya wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki basi tunapata hisia ya kuwa nao,wanaendelea kuishi katika mawazo ya watu katika nyakati tulizonazo sasa,"No one is finally dead until the record of breaking the barriers is broken,until the clock wind up winds down,

Until the wine he made has finished its ferment,until the crop he planted is harvested,the span of someone’s life is only the core of their actual existence." Hivi ndivyo Hayati Rais John Magufuli anavyoishi kwenye mawazo na fikra za Watanzania,Asilimia zaidi ya 80% ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi! Rais Magufuli alijenga Reli ya Umeme kwa faida ya Watanzania,Rais Magufuli alijenga masoko Kila Wilaya Tanzania mzima kwa faida ya Watanzania,sio kwa faida yake,Hayati Rais Magufuli alijenga stand kila Mpya kila Mkoa wa Tanzania,Rais Magufuli alijenga Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere kwa faida ya Watanzania,

Hayati Rais Magufuli alihamisha makao makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwa faida ya Watanzania,kwa namna hii ya Uzalendo kwa nchi yake na uongozi uliojali maslahi ya Taifa na kizazi kijacho, Hayati Rais John Pombe Magufuli anaendelea kuishi kwenye mawazo na fikra za watu kwa sababu moja tu hakuna mtu mwenye sifa kama zake kiuongozi,watu hawafanani,hili nalisema kama mbobezi katika masuala ya Uongozi,Rais John Pombe Magufuli alikuwa Champion katika mambo mengi na kila mwananchi analijua hilo,Hayati Rais John Pombe Magufuli anaendelea kuishi kwenye fikra na mawazo ya Watanzania kwa sababu ya kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na hoja,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliondoka akiacha uhakika kwa Watanzania kuwa yeye ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa kweli kwa wananchi wanyonge nchi nzima ya Tanzania,kwa namna hii hata mimi ningependa kumtaja lakini zaidi viongozi wengi wangependa kumtaja ili kujipima mbele za Wananchi wa Tanzania,

Ukitaka kuungana au kukubaliwa na wananchi basi lazima umtaje Rais Magufuli ili kujiweka sawa kwenye uongozi na Wananchi waweze kukuelewa,bila kutaja jina la Rais Magufuli basi wananchi hawawezi kukuelewa,kwa maendeleo ya vitu aliyofanya Hayati Rais John Magufuli,ni dhahiri uwe na hoja usiwe na hoja kwa sababu macho yanaona aliyoyafanya Hayati Rais John Magufuli basi utamtaja tu,iwe alikuziba mdomo wakati wa kula au hakukuziba mdomo utamtaja tu,uwe unampenda au haumpendi utamtaja tu,hivyo basi Hayati Magufuli ataendelea kuishi kwenye fikra na mawazo ya Watanzania kwa kutajwa tajwa kwake kwa kusifiwa na kwa kubagazwa ikiwa ametenda au hakutenda,hii ndio sifa ambayo Mungu ameiruhusu ije kwa Hayati Rais Magufuli akiwa amelala milele,

--Rais aliyeongoza mamilioni ya watu akifa asizungumziwe tena?

Mpaka leo,kuna watu wanakasirika au wanashangaa anapozungumzwa Hayati Rais John Pombe Magufuli,? Watu awa wanashindwa kuelewa kwamba Hayati Rais John Pombe Magufuli bado hajaandikiwa biographies za maana za kuchambua maisha yake,If anything Tanzania hatujamuongelea vya kutosha Hayati Rais John Pombe Magufuli,hatujamuongelea kwa kina kuchambua mazuri na mabaya yake,kila mtu ana mapungufu,Rais wa awamu ya kwanza,Hayati Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa na mapungufu yake kama mwanadamu,vivyo hivyo kwa Rais wa awamu ya pili,awamu ya tatu na awamu ya nne,turekebishe penye mapungufu na mazuri yao tuyaenzi na kuyaendeleza,tuwape maua yao kwa kila zuri walilofanya kwa Watanzania,

Simulizi za Wafalme waliokufa maelfu ya miaka,wa Kirumi,Kiyunani,Mafarao wa Misri, mpaka leo watu wanazisimulia kujifunza kutokana na maisha yao,mapungufu yanafanyiwa kazi lakini mazuri yanaenziwa,Tunaambiwa Mfalme Suleiman alikuwa na wake mia tisa lakini alikuwa na hekima na busara kuliko mwanadamu yeyote hapa duniani,ni dhahiri kuoa wake mia tisa tutaacha lakini hekima na busara zake tutazichukua,Watu wanaandika habari za Caesar, Augustus, Nero, Caligula, Alexander the Great, Darius, Rameses, Ptolemy, Genghis Khan, Napoleon, Washington, Hitler, Martin Luther King Jr., Kennedy,sasa awa watu wasiompenda Magufuli wanaoumizwa anapoongelewa Magufuli mimi nawashangaa sana,kwanza sielewi wanaumizwa na kipi,wanaona wivu Magufuli akiongelewa?

Pili, kama kweli hawampendi Hayati Rais John Magufuli,presumably na CCM,mimi ningetegemea wafurahie wana CCM kumuongelea Hayati John Magufuli ambaye amefariki (kwa sababu ndiye aliyeirudisha CCM kwenye ramani toka kuzomewa ukivaa sare za CCM hadi kusifiwa ukivaa sare za CCM sababu Hayati Rais Magufuli alitenda sawa sawa na Wananchi walivyotaka,lakini kingine kama watu walikuwa wanamuogopa basi hawezi kugombea kwenye uchaguzi) na wao waitumie fursa hiyo kumnadi mgombea wao,sasa, badala ya wao kumnadi mgombea wao,na wao wanajiunga kumuanzishia uzi Hayati Magufuli.Sasa unajiuliza mtu anaponda watu kumuongelea Hayati Rais John Magufuli,badala ya yeye atuambie habari za mgombea wake,anaishia kutukana na kuchukua uchafu wao kumrushia Hayati Rais Magufuli!!?

Niseme watakuja watu mwaka 2064 hapa kutafuta habari za Hayati Rais John Pombe Magufuli na kuangalia watu walifanya maongezi gani miaka michache baada ya kifo chake,kwa niaba yao,nawaomba mziandike,mziandike sana,tena mziandike kwa usahihi,zenye makosa zirekebishwe,lakini msikose kuandika,ikibidi hata makala ndefu za kisomi na vitabu,Mimi nasikitika habari za Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine,mwaka 1984 hatujaziandika vizuri,nikisimulia maisha yalivyokuwa wadogo zangu wengine wanaona kama sinema vile,hiyo ilikuwa miaka 40 tu iliyopita,Legacy haifi hasa kwa watenda mema, na ndio maana kamwe historia haitowasahau Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Rais John Magufuli tutawasimulia na kuwaambia hata vitukuu vyetu yale mazuri waliyoyatendea nchi hii na watu wake ,kule Marekani bado George Washington anakumbukwa! na hata kwenye muziki bado tunamkumbuka Bob Marley japo hayupo nasi na muziki wake unapendwa na hata waliozaliwa majuzi,Hivyo basi kama unachukia kutajwa kwa Hayati Rais John Pombe Magufuli basi utapata BP bure,ukitaka kusifiwa kila wakati tenda mema kwa jamii yako na Taifa lako,kizazi na kizazi kitakukumbuka.

Nimalizie kwa kusema kwamba tuige na kuyaendeleza yale mazuri waliyokuwa wakiyafanya wale waliotangulia mbele ya haki,,wafu hawasikii wala hawawezi kufanya lolote tena,ni jukumu letu kuyaendeleza,shukrani kwa maneno mazuri na sahihi ya Mh Makonda nanukuu" Nitayasimamia na kuyaendeleza yale yote aliyoyaamini na kuyatenda Hayati Rais John Pombe Magufuli,hata nikiwa mbele ya mtutu wa bunduki"Hii ndiyo njia pekee ya kuenzi mashujaa wetu wa Taifa waliotangulia mbele ya haki.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Brazaaaa hivi hizi Habari huwa mnazitoaga wapiii ?
 
Watumishi wa umma kamwe hawatamsahau kwa namna alivyo wanyoosha ndani ya miaka yake yote aliyotawala!

Kuanzia ule uhakiki wake, kuacha kuwapandisha vyeo/madaraja yao kwa wakati na pia kupuuza kuwaongezea mishahara yao kwa mujibu wa kanuni na sheria za ajira, nk.

Kuwapa wahuni kama akina Bashite na Sabaya mamlaka yasiyo ya kawaida, kutuletea ubaguzi wa wazi wa kikanda, kiitikadi, kuvuruga uchaguzi wa 2020, kutesa watu, kupoteza watu, kutuletea udikteta uchwara, nk.
 
Tutamkumbuka kwa Daraja la busisi

Kunyoosha wafoji vyeti

Kunyoosha wazembe kazini
 
Umeleweka sana... Mwinyi nae alimtaja JPM kwa kutamani angekuwa kama yeye..
 
Watumishi wa umma kamwe hawatamsahau kwa namna alivyo wanyoosha ndani ya miaka yake yote aliyotawala!

Kuanzia ule uhakiki wake, kuacha kuwapandisha vyeo/madaraja yao kwa wakati na pia kupuuza kuwaongezea mishahara yao kwa mujibu wa kanuni na sheria za ajira, nk.

Kuwapa wahuni kama akina Bashite na Sabaya mamlaka yasiyo ya kawaida, kutuletea ubaguzi wa wazi wa kikanda, kiitikadi, kuvuruga uchaguzi wa 2020, kutesa watu, kupoteza watu, kutuletea udikteta uchwara, nk.
Watoa rushwa na wapenda mtelezo walinyooka kweli..kazi kwa cheti cha kununua uwajibikaji inatokea wapi?izo kasoro
Watumishi wa umma kamwe hawatamsahau kwa namna alivyo wanyoosha ndani ya miaka yake yote aliyotawala!

Kuanzia ule uhakiki wake, kuacha kuwapandisha vyeo/madaraja yao kwa wakati na pia kupuuza kuwaongezea mishahara yao kwa mujibu wa kanuni na sheria za ajira, nk.

Kuwapa wahuni kama akina Bashite na Sabaya mamlaka yasiyo ya kawaida, kutuletea ubaguzi wa wazi wa kikanda, kiitikadi, kuvuruga uchaguzi wa 2020, kutesa watu, kupoteza watu, kutuletea udikteta uchwara, nk.

Wapenda rushwa na wanunuzi wa vyeti lazima ..unafkiri uwajibikaji unatokea wapi mpaka cheti cha udaktari mtu anafoji...kama biashara inavyoweza zaidi na makabila flani basi utendaji ndo hivyo hivyo na kusimamia haki ndo tafsiri ya udikteta, hata china wamefika pale kwa maamuzi magumu sana hata ya kuua wala rushwa na wizi hizo siasa so issue maana mpinzani nae akipata jimbo aliyoyasema atayafanya kwenye kuomba ridhaa wala hayakumbuki..kimsingi tunaishi kijanja janja sana wahuni wakwepa kodi na matapeli ni wengi ..ukisemamia haki wengi watakuchukia..uzuri wa jpm wamerekani walisema the new rising star in afrika..wacongo na wakenya wakamtamani..makadirio ya uchumi akayapita ..wakina labudi kesi walizishinda ugenini si padogo.
 
Maiti hasemwi vibaya, ila tusilazimishane kuwa na hisia sawa.
Hayati Magufuli alifanya mengi mazuri kwa nchi hii lakini kitendo cha kubomoa nyumba ya mtu wangu wa karibu mitaa ya kibamba na kupelekea yule mtu kufa jwa presha siwezi kumuelewa hata kama alikuwa anafuata sheria.
Baada ya tangazo lile mimini wenzangu tulijikuta tunakewa mpaka majogoo
E mwenyezi Mungu nisamehe
 
Ikakusaidia nini baada ya kuelea mpaka asubuhi? Jamaa yako aliyekufa alifufuka? Vipi nyumba iliyobomolewa ilirudi?
Mkuu huyo achana naye,
Uzuri ni kwamba Akifika Kimara akakuta ule Mkeka wa Njia 6 lazima aseme Magu ni Kiboko.
Hata Umeme anaotumia sasa ni maamuzi Magumu ya Magu kule Bwawa la Nyerere.
Akienda Mjini lazima apite pale Kijazi, akitaka kwenda Coco lazima apite Tanzanite Bridge aseme Magu ni Nyokooo.
Anyway kama Unamchukia Magu utakufa kwa kihoro Mkuu
 
Maiti hasemwi vibaya, ila tusilazimishane kuwa na hisia sawa.
Hayati Magufuli alifanya mengi mazuri kwa nchi hii lakini kitendo cha kubomoa nyumba ya mtu wangu wa karibu mitaa ya kibamba na kupelekea yule mtu kufa jwa presha siwezi kumuelewa hata kama alikuwa anafuata sheria.
Baada ya tangazo lile mimini wenzangu tulijikuta tunakewa mpaka majogoo
E mwenyezi Mungu nisamehe
Ulilewa Mpaka majogoo lkn kuna Siku na wewe utakufa tu.
 
Back
Top Bottom