Maisha halisi ya Mtanzania yakoje?Habar wana JF
Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani
Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.
Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa
Nawasilisha
Watu wanashangilia mambo yasiyofaa kwa rais kuyafanya kama mzuka. Kuna taratibu zake za kufuata.Muelewen mleta mada vizuri ana ujumbe uliojificha. Anamaanisha rais anaish kimajungumajungu tu kiuswahili uswahili mfano mzuri alipomtumbua kabwe mbele ya kadamnas. That's too low for a president to do. Mambo kama haya yananikatisha tamaa ya kujiendeleza kielimu ama kimasomo. Nimeamua kukomaa na kubeba boksi na form four yangu ya kuunga unga si English nafaham kwani shida ipo wapi??
Sasa ulitaka aishije??? Ka malaika au?? Au ye si binadam kama sisi??? Kifupi anaishi maisha ya kawaida kwa sababu anajua binadamu wote sawa sa sijui we ulitaka aishije....
Maisha halisi ya Mtanzania yakoje?
Asilimia wangapi ya Watanzania hawana umeme? Asilimia ngapi hawana maji? Asilimia ngapi hawana BMW? Asilimia ngapi wana bastola?
hapa tunafundishana, ngoja kesho asilete vitu bila kufikiri. Wewe maisha yako unayalinganisha na magufuli, you are crazy!Ungepitaa tu bila kukomenti mkuu
Hilo halina mjadala! Suleiman na fahari zake zote bado ule ubinadamu na mahitaji ya msingi ya kibinadamu yalikuwa pale pale. Kama binadamu alihitaji kula, aliugua, and all other biological processes ndani ya mwili wa binadamu ziliendelea kufanya kazi kama kawaida bila kujali yeye ni mfalme au ana mamlaka gani.
Lakini kuna baadhi ya vitu ambavyo huwezi kujilinganisha naye au kujilinganisha na Rais. Kutuambia hapa eti Rais anaishi kama kijijini kwao kwanza ni zaidi ya uongo na kumkosea adabu.
Muelewen mleta mada vizuri ana ujumbe uliojificha. Anamaanisha rais anaish kimajungumajungu tu kiuswahili uswahili mfano mzuri alipomtumbua kabwe mbele ya kadamnas. That's too low for a president to do. Mambo kama haya yananikatisha tamaa ya kujiendeleza kielimu ama kimasomo. Nimeamua kukomaa na kubeba boksi na form four yangu ya kuunga unga si English nafaham kwani shida ipo wapi??
Hujajibu niliyouliza.Anakula kwa mama ntilie kama mm, anaenda bank anachukua elfu 50, Mie nachukua 20 kama ivo yan
Habar wana JF
Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani
Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.
Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa
Nawasilisha
Hujajibu niliyouliza.
Mtu anayekula kwa mama ntilie kwa kuamua tu wakati ana uwezo wa kuitisha dhifa ya kitaifa, na mwingine anayekula kwa mama ntilie kwa sababu hana namna nyingine, wana usawa gani?
Watanzania wengi ni rahisi sana kuchotwa akili kwa maigizo na hawawezi kuangalia mambo ya msingi.
pumba.Habar wana JF
Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani
Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.
Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa
Nawasilisha
Kwa hiyo unakubali kwamba anayeamua kwenda kijiweni huku ana uwezo wa kwenda Serena maisha yake si sawa na yule ambaye yuko kijiweni na hana hata nauli ya kufika Serena?Tupo pamoja mkuu ni kama ww tu ukamua leo ngoja tuu niende kijiweni kupiga bao but ungeweza kwenda Serena kula upepo or whatever