Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Daah! huenda hata JPM anasomaga post za jamiiforums maana Dr Joyce Ndalichako alipigiwa chapuo na kapewa Wizara ya Elimu
 
Nakumbuka haja jf pia tulikuwa tumeisha mzungumzia pia na alikuwa na Uzi wake ongera jpm
 
ITV wamedhibitisha ni kweli kabisa huo uteuzi ....Makame Mbarawa kuhamishwa kutoka wizara ya maji na kupelekwa uchukuzi usafirshaji na mawasiliano
 
Ndio mahana kuna mtu mmoja kaposit kuwa waislam tumekwisha nafikili atabalika msiogope
 

Attachments

  • 1450890941315.jpg
    1450890941315.jpg
    44.8 KB · Views: 2,377
Last edited by a moderator:
Hamadi Masauni alidanganya umri ikabidi ajiuzulu uvccm alafu hivi sasa anaonekana anafaa, siasa gani hizi!
Ila kwa Dk Mpango na Dk Ndalichako nahisi ni uteuzi mzuri
 
Back
Top Bottom