Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

for some of his best quotable quotes kama hizi hapa:

1. Nashangaa kwa nini Tanzania ni nchi ni tajiri sana kwa raslimali lakini watu wake ni maskini wa kutupa
2. Kigezo cha maendeleo ya nchi ni foleni ndefu za magari barabarani
3. Nashangaa Amani iliyoletwa na Mababu zetu imepotelea wapi
4. Mfumo wa uchumi wa Tanzania haufungamani na wa nchi za magharibi
5. Wamiliki wa dowans siwajui
6. Tutakivua magamba chama chetu
nk ,,,,nk/...
alishindwa kujibu maswali kwenye mdahalo wa uraisi pamoja na kupewa majibu ya pepa pale move n pick japo alipewa muda mwingi
 
Licha ya udhaifu wake mkubwa wa kufuatilia issues za msingi,jambo ambalo limelitumbuliza taifa ktk mitafaruku ya kidini,kikanda na kuzidi kukua kwa rushwa,nitamkumbuka kama mtawala ambaye amejitahidi sana kuimarisha demokrasia kulinganisha na mtangulizi wake Benjamin Mkapa! Natambua changamoto ni nyingi,lakini namcredit kwa hilo. Mkapa alirudisha taifa letu nyuma sana,na matokeo ni hizo rushwa kubwa zilifanyika ktk utawala wake!
 
Mkuu ni vyema ukasahihisha tread yako kabla hasira hazipanda, deni la taifa limefikia TRILLION 21 na siyo Billion 21 kama unavyo jaribu kupindisha ukweli. Usishtuke mkuu hiyo ndo habari ya mjini na Waziri wa fedha ametangaza rasmi wadanganyika tusiwe na wasi wasi bado tunakopesheka.
msamehe jamaa alisoma arts
 
kama rais aliyeleta maendeleo makubwa katika miundombinu,vyombo ,uhuru wa kutoa na mfumo wa habali,raisi alyeongeza idadi idadi ya ajira serikalini kwa zaidi ya asilimia 3000,rais aliyeongeza idadi ya vyuo na watahiniwa kwa asilimia 600,rais aliyeongeza tatizo la ajira kwa kuwasomesha wengi wakakosa shukran,,rais aliye ruhusu watu wajinga wajinga kumtukana na akawachekea na bado wakamuona kumdhihaki,rais aliye anzisha mikakati kibao ya kumkomboa mtanzania ikiwa ni ppamoja na mabenki na uegencies nyingi lakini watu hawaoni na wanatamani kupewa bure!!
 
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?

......

Mimi nitamkumbuka kuwa Rais aliyeendesha serikali kwa uwazi zaidi kutmia sheria siyo udikteta,rais aliye leta katiba ya kudumu miaka 50 ijayo.
 
1. Rais mwoga kufanya maamuzi kuliko wote waliowahi kuwepo
2. Rais asiye na job description hivyo kumkosesha kujua vipaumbele vyake ni nini
3. Rais ambaye kila kona ya nchi ukipita utaambiwa huyu ni mtoto wa "..."
4. Rais aliyevunja record ya kuanguka anguka majukwaani kwenye kampeni zake zote za Urais
5. Rais mtalii zaidi duniani
6. Rais aliyemilikisha mali za nchi kwa familia yake
7. Rais ambaye kila mwanafamilia wake ni mwanasiasa wa CCM na NEC imejaa ndugu na jamaa zake akiwemo mke na mtoto

......

Bado hujamaliza kuna la
 
kama rais aliyeleta maendeleo makubwa katika miundombinu,vyombo ,uhuru wa kutoa na mfumo wa habali,raisi alyeongeza idadi idadi ya ajira serikalini kwa zaidi ya asilimia 3000,rais aliyeongeza idadi ya vyuo na watahiniwa kwa asilimia 600,rais aliyeongeza tatizo la ajira kwa kuwasomesha wengi wakakosa shukran,,rais aliye ruhusu watu wajinga wajinga kumtukana na akawachekea na bado wakamuona kumdhihaki,rais aliye anzisha mikakati kibao ya kumkomboa mtanzania ikiwa ni ppamoja na mabenki na uegencies nyingi lakini watu hawaoni na wanatamani kupewa bure!!
hivi mabilioni ya jk ulipata? maana mi hata sijui kama yapo mpaka sasa
 
nitamkumbuka kwa sukari kuikuta 600 kilo 1 mtwara pamoja barabara kuwa mbovu na mpaka sasa kuwa 2500 kilo na bado hajamaliza muda sijui hataiacha sh ngapi? hakiondoka
 
Mimi nta mkumbuka kama raisi aliye shindwa kuongoza nchi, kama wakati anaingia madarakani deni la taifa ni trillion 5, leo ni trillion21,kama kiwango cha ufaulu kili kuwa zaidi ya asilimia themanini leo kipo arobaini na, je na wewe utamkumbuka kwa lipi?

.....

kila nitakapokuwa nasikia nyimbo ya Babuseya.
 
Mi nitamkumbuka Kikwete kwa udini wake aliounzisha Tanzania. Nchi hii haikuwa na ubaguzi wa namna yoyote mpaka alipoanzisah yeye kutafuta wajinga wasio na uwezo wa kupambanua mambo. Hata hivyo ni Rais aliyefiwa na vitu vingi vya Taifa mikononi mwake kuanzia chama chake mwenyewe, amani, elimu, Tanesco nk. Niamkumbuka kwa U-fastjet pia
 
Nitamkumbuka kwa weza kuvunja rekodi ya dunia ya rais aliyefanya safari nyingi za nje kuzidiwote, kupandwa na kumea kwa udini nchini, kuporomoka kwa kasi kwa sekta ya elimu nchini, kuleta bajaj za kubebea wajawazito kwa lengo la kusaidia kupunguza vifo na matatizo yatokanayo na ujauzito na uzaz.

Back
Top Bottom