Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

for some of his best quotable quotes kama hizi hapa:

1. Nashangaa kwa nini Tanzania ni nchi ni tajiri sana kwa raslimali lakini watu wake ni maskini wa kutupa
2. Kigezo cha maendeleo ya nchi ni foleni ndefu za magari barabarani
3. Nashangaa Amani iliyoletwa na Mababu zetu imepotelea wapi
4. Mfumo wa uchumi wa Tanzania haufungamani na wa nchi za magharibi
5. Wamiliki wa dowans siwajui
6. Tutakivua magamba chama chetu
nk ,,,,nk/...

Wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao!
 
nitamkumbuka kwa kufanya safari zaidi ya 200...za nje ya nchi zisizo na maana yoyote!kwa pesa za wa watanzania masikini...
 
Mi ntamkumbuka kuwa rais wa pekee nchi hii anayependa kubembea. yupo tayari kulala uwanja wa ndege akasafiri marekani kwwnda kubembea.

Pia nitamkumbuka kwa juhudi zake binafsi kuwaua raia wanaodai haki zao, mfano mauaji ya Arusha na Nyololo.

Pia nitamkumbuka kwa kutekeleza ilani ya ccm kuwafelisha wanafunzi wa form 4 zaidi ya 80% kutokana na ukosefu wa ajira
 
Rais wa kwanza wa TZ kubembea

Bartlett%252520with%252520Jakaya%252520Mrisho%252520Kikwete%252520and%252520wife%252520at%252520Mystic%252520Mountain.jpg
 
ntamkumbuka kwakuvunja katiba ya nchi alioapa kuilinda,pale alipotangaza msamaa wa rais kwa wahalifu(wezi wa EPA) ambao hawajafikiswa mahakamani na kuhukumiwa,kwakigezo cha kuludisha walichoiba. kwa hili huyu bwana sita msahau.
 
Raisi mpenda ndege' begi lake halishuki kwenye pipa maana hapendi hata kunya hapa bongo.
 
nitamkumbuka kwakuvunja sheria na katiba ya nchi alioapa kuilinda,kwakutangaza msamaha wa rais kwa watuhumiwa wa wizi (EPA)kabla ya kukamatwa na kushitakiwa,kuhukumiwa na kufungwa jela.yeye akawasamehe tena bilakuwataja kwa kigezo cha kuludisha pesa walizoiba.
 
Nchi gani mkuu? Tunaongelea JK wa Tanzania na Tanzania hakuna barabara za lami. Hebu jaribu kwenda Mtwara, au Kigoma, au Rukwa, au Simiyu, au Katavi, au Tabora halafu uje utoe ripoti. Au mnadanganyika na propaganda za TBCCM?

Acha chuki zako,kigoma katujengea daraja malagarasi,barabara ya mwandiga manyovu,mwandiga kidahwe,kidahwe maragarasi,umeme ktk miji ya kgm,kasulu,na kibondo,hospital ya rufaa ya maweni,kiwanja cha ndege.yani kgm tunamkubali jakaya kinooooma.
 
Back
Top Bottom