GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Kila akiingia hapa anakua kazini/kibaruani (malipo maalumu), tofauti na sisi ni uzalendo na curiosity yakutaka ku-learn from other people's views. Ukiona mtu anabisha kila kitu ujue huyo hana nia yakujifunza anatimiza tu wajibu wake uliomleta hapa.
Ww nawe mbona uko kazini bana , umeajiriwa na Chama cha Demokaya na Magwanda bana