amekiri trh.9 dec. ni sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
Mheshimiwa Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete leo ataongea na wazee wa Dar-es-salaam kuanzia saa kumi jioni. Itarushwa live na vituo vya TV kama TBC.
USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEE.
amekiri trh.9 dec. ni sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
maendeleo ya miaka 50 ni pamoja na wanawake kutovaa kaniki
anasema katiba ya sasa ni nzuri ila tumepiga hatua ya maendeleo kwa miaka 50 iliyopita, na akasema enzi hizo ukumbi ungetawala weusi tiiii kwa kuvaa kaniki, na kwa sasa hakuna makuti, shule ziko bwerere na haya ndo mema ya katiba hii.
Anasifia wingi wa nyumba Dar
hakawii kusema hata magari mengi yameongezeka na so ni mafanikio..si mnaona foleni wazee wangu kila kona ya jiji