Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

grrrrrrrrrrrr......booooooom!!!!!! ****** oka jamiii ya kiwalani
 
Inawezekana kabisa hilo kuwa kweli,dalili zinaonyesha tanzania ina magenge na mitandao ya kigaidi na tayari imeshathibitika kuna gaidi mtanzania (Ghailan) kafungwa na marekani. Lazima alikuwa na mtandao ndani na nje ya nchi.

Kazi kwenu TISS.
 
Ha ha haaaaaaa hiyo sehemu watu wengi sana wanaifahamu ni Islamic seminary na hakuna mtu yeyote anae zuiwa kuingia. Hata ww ukienda watakukaribisha tu mkuu

mbona kama unaichukulia simple sana, kama ni mmoja wapo tuambie wanajamvi shughuli inayofanyika tofauti na zinazosemwa hapa.
 
Mkuu waweza piga picha hizo compound.tuletee picha tafadhali....

Hao watoto ni wa Kitanzania?

Nimeshaambiwa habari hii kwa na kukutana na vijana wawili ndani ya kundi hilo.watoto hawa huwa wanatolewa nchi mbalimbali watoto wa kitanzania wanapelekwa nchi zingine.Wanachofanya kama wewe ni muislamu wanakuja kukuomba kwa wazazi wakakusomeshe mpaka chuo kikuu,kweli wanakusomesha na kukupa mafunzo ya kigaidi.

Wapo wengi waliokwisha Hitimu na kuja likizo majumbani mwao,lakini watoto hawa ni wasiri sana kwani wanalishwa viapo vya uaminifu.moja ya kiapo ni kunywa damu ya osama na wengine katika kundi kulinda siri zote na kuwa muaminifu hata mauti.Vijana kadhaa wa kitanzania huwa wanakuja likizo na kurudi maeneo mbalimbali wanayopangiwa bila wazazi wao kulijua.

Kuhusiana na Kikwete siyo jambo geni kwani wengine anaishi nao state house kama watu wa usalama kutokana na taarifa zilizotoka kwa mmoja wao. Watu hawa wanakuwa controlled remotely,wanavitu wanavalishwa mf.saa na wengine kupasuliwa na kuwekwa vitu mgongoni. Hili nimelishuhudia kwa mmoja wao na kunionyesha kifaa hicho ambacho kinatumika kama monitor.

Kwa taarifa zilizopo hata Radio ya kiislam iliyoko Morogoro inaongozwa na kundi hilo japo mmiliki ni mwingine.Hivi karibuni nimeambiwa wanampango wa kuanzisha radio nyingine hapa Dar na TV kama ilivyo Aljazira.

Yapo mambo mengi yakupinga ndani ya utawala wa Kikwete,mtu huyu anafanya mengi nyuma ya pazia, ni maombi yangu iko siku Mungu atafichua na watanzania watajua.

Nimefurahi kusoma taarifa hii hapa.
 
Umefanya Uchunguzi wa Kina. Au unataka tukuamini tu kwa kuanza na 'Ninachokiandika hapa sio udaku wala tetesi, ndio ukweli wenyewe.'
 
Uzuri hii JF husomwa pia na majasusi wa Kimarekani na Uingereza huko huko USA na UK, halafu wana watu wao kama yule jamaa 'afisa balozi' wa Kimarekani DSM aliyeongea na Dr. Hosea kuhusu 'vita dhini ya rushwa' ya serikali ya JK.

Muda si mrefu itajulikana ni nini kinachoendelea hapo Kiwalani hata kama TISS a.k.a UWT wamelala kwa makusudi kama Wapakistani.
 
I am taking this thread very seriously and I beg if there is any person in this forum who can initiate further investigation on this issue to do it ASAP. Tukumbuke ile methali isemayo: lisemwalo lipo na kama halipo laja.
 
Kwani wamarekani wao ni akina nani mpaka wawe wanawawajibisha marais wa nchi nyingine? mbona marais wa marekani wanamakosa kibao na hatuoni hizo kauli za kuwajibishwa kwao? marekani wamewaua viongozi wengi wa afrika na kupandikiza vikaragosi vyao kutawala kama marais nani amewachukulia hatua? nani alimpindua kwame nkrumah?, nani alimuua lumumba na kumuweka madarakani mobutu? nani kawachukulia hatua wote hao?
 
Josephine

Mama ujue wewe ni firstlady wangu and anything from you nachukulia serious! Ama nimechanganya majina?!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wamarekani wao ni akina nani mpaka wawe wanawawajibisha marais wa nchi nyingine? mbona marais wa marekani wanamakosa kibao na hatuoni hizo kauli za kuwajibishwa kwao? marekani wamewaua viongozi wengi wa afrika na kupandikiza vikaragosi vyao kutawala kama marais nani amewachukulia hatua? nani alimpindua kwame nkrumah?, nani alimuua lumumba na kumuweka madarakani mobutu? nani kawachukulia hatua wote hao?

Ukitaka kujuwa Wamarekani ni kina nani, muulize Kikwete baada ya yeye kuwa ndio Rais wa kwanza kuonana na Obama White house Mwai Kibaki alimnunia na Kikwete hiyo kwake aligeuza ni CV na wale majuha wa magamba ya njano wakata kuandamana kupongeza tukio hilo.
 
Umefanya Uchunguzi wa Kina. Au unataka tukuamini tu kwa kuanza na 'Ninachokiandika hapa sio udaku wala tetesi, ndio ukweli wenyewe.'

Nayafahamu vizuri hayo maeneo kabla hao Wapakistan hawajanunua hayo maeneo kuendesha shughuli zao za kigaidi.
 
Naomba kukumbushwa kama nitakuwa nimesahau, hivi lile sakata la Dr Mwakyembe la kutaka kuuwawa, katika simulizi zake si alitaja eneo hilo Kiwalani kwamba Al shabab walifikia huko?

Uko sahihi mkuu, ni kwenye msikiti huu huu wa Markaz ninaousema mimi, na katika watuhumiwa yupo ofisa usalama wa Taifa kwa mujibu wa maelezo ya mwakyembe, kwahiyo sishangai hata taarifa hizi watu wakizipuuza.
 
Ha ha haaaaaaa hiyo sehemu watu wengi sana wanaifahamu ni Islamic seminary na hakuna mtu yeyote anae zuiwa kuingia. Hata ww ukienda watakukaribisha tu mkuu

Hata huko Abotaabad kwa Osama watu walikuwa hawazuiliwi.
 
Mkuu MM...Ni imani yangu unakumbukumbu nzuri,kwamba zinapoibuka tetesi za aina hii ni bahati (Happenstance),kwenye pita pita zako ukikumbana na tetesi nyingine zinazofanana na hizi ni babati pia (coincidence) lakini ukitakiwa kuchukua tahadhari! Na mara ya tatu hii alert ikiendelea kukugonga kichwani sio bahati tena...kuna funzo hapa!
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Back
Top Bottom