Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

Porojo uzi wa toka 2011 sasa hii 2015 mleta mada ana chuki binafsi
 
Wakuu poleni na majukumu.

Ninachokiandika hapa sio udaku wala tetesi, ndio ukweli wenyewe. Wakati serikali ya Pakistani sasa hivi ipo katika hali ngumu kuwapa Wamarekani maelezo ya kuridhisha na ya kujitosheleza ilikuwaje intelijensia ya Pakistan isijue kwamba Osama alikuwa Pakistan, kosa hilo hilo linafanywa na rais wetu na vyombo vyetu vya intelijensia.

Kwa wakazi wa Kiwalani wilaya ya Ilala Dar esalaam, eneo linaitwa CHADEMA, hapo ndio Temple ya Al Qaeda ambao wanatumia mwamvuli wa uislamu kama kawaida yao, mahali hapo kuna msikiti mkubwa unaitwa MARKAZ na unamilikiwa na Wapakistani ambapo pembeni yake pia wamenunua compound kubwa sana ambayo inafanana kwa kila kitu na sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.

Kinachosikitisha, Compound hizo ziko barabarani kabisa na kuna vijana wa madrasat kuanzia umri wa miaka 3 ambao wanaishi boarding humo ndani ya hizo compound huku wakifundishwa karate na kungfu na kuwabrain wash, na baadae hutoweka kwenda kupigana JIHAD sehemu mbali mbali duniani na kuletwa wengine.

Hawa moja kwa moja ndio link kuu ya kupitishia pesa kuwapelekea Al Shabaab ya Somalia ambalo ni tawi la Al Qaeda. Sasa nauliza, kama mimi raia wa kawaida nina uwezo wa kujua ule msikiti na compound zake ni terrorist link, inakuwaje vyombo vyetu husika vinashindwa kulijua hilo?

Je, siku Wamarekani wakivamia pale na kumkamata Ayiman Al Zawahir, serikali yetu itakuwa na uwezo wa kusema walikuwa hawajui kinachoendelea? Na ili majirani wasiwakaribie, wamenunuwa nyumba zote zinazowazunguka kwenye hizo compound kwa urefu wa mita 100 kila upande. Na mfanikishaji wa mpango huu ni Osama, huyu wa Markazi ambaye anajifanya kama anataka kujenga viwanda wakati hiyo ni gia tu hawataki kuwe na majengo jirani ya kufuatilia mienendo yao.

Muhimu hapa cha kunote: Compound zote mbili zina sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.

Qur-an 1:10
Nyoyoni mwao mna maradhi na mwenyezimungu amewazidishia maradhi. Basi watakua na adhabu chungu kwa kusema Kwao uwongo.
 
Nakuunga mkono mkuu..hizo compound zipo vingunguti kiwalani..ukifika bus stop ya vingunguti..unafuata njia ya kuelekea kiwalani mkono wa kushoto ndo zilipo hizo compound..huruhusiwi kuingia..unasikia tu milio ya viitikio vya vijana wanaofundishwa kung fu na karate..ndani kuna nn?..lzm kuna kitu!
Hakuna kitu kama hicho, na hapa ndio yadhihirika chuki zenu, hadi kufikia kuzua uongo mradi tu wengine waonekane wabaya, hazuiwi mtu kuinfia pale hata sasa hivi twende nikakuthibitishie
 
Back
Top Bottom