Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,409
92,755
Wakuu poleni na majukumu.

Ninachokiandika hapa sio udaku wala tetesi, ndio ukweli wenyewe. Wakati serikali ya Pakistani sasa hivi ipo katika hali ngumu kuwapa Wamarekani maelezo ya kuridhisha na ya kujitosheleza ilikuwaje intelijensia ya Pakistan isijue kwamba Osama alikuwa Pakistan, kosa hilo hilo linafanywa na rais wetu na vyombo vyetu vya intelijensia.

Kwa wakazi wa Kiwalani wilaya ya Ilala Dar esalaam, eneo linaitwa CHADEMA, hapo ndio Temple ya Al Qaeda ambao wanatumia mwamvuli wa uislamu kama kawaida yao, mahali hapo kuna msikiti mkubwa unaitwa MARKAZ na unamilikiwa na Wapakistani ambapo pembeni yake pia wamenunua compound kubwa sana ambayo inafanana kwa kila kitu na sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.

Kinachosikitisha, Compound hizo ziko barabarani kabisa na kuna vijana wa madrasat kuanzia umri wa miaka 3 ambao wanaishi boarding humo ndani ya hizo compound huku wakifundishwa karate na kungfu na kuwabrain wash, na baadae hutoweka kwenda kupigana JIHAD sehemu mbali mbali duniani na kuletwa wengine.

Hawa moja kwa moja ndio link kuu ya kupitishia pesa kuwapelekea Al Shabaab ya Somalia ambalo ni tawi la Al Qaeda. Sasa nauliza, kama mimi raia wa kawaida nina uwezo wa kujua ule msikiti na compound zake ni terrorist link, inakuwaje vyombo vyetu husika vinashindwa kulijua hilo?

Je, siku Wamarekani wakivamia pale na kumkamata Ayiman Al Zawahir, serikali yetu itakuwa na uwezo wa kusema walikuwa hawajui kinachoendelea? Na ili majirani wasiwakaribie, wamenunuwa nyumba zote zinazowazunguka kwenye hizo compound kwa urefu wa mita 100 kila upande. Na mfanikishaji wa mpango huu ni Osama, huyu wa Markazi ambaye anajifanya kama anataka kujenga viwanda wakati hiyo ni gia tu hawataki kuwe na majengo jirani ya kufuatilia mienendo yao.

Muhimu hapa cha kunote: Compound zote mbili zina sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.
 
Mbona hatari hii tumeibeba wenyewe! Hii nchi sijui wenye nayo tumelala!!
 
Mkuu waweza piga picha hizo compound.tuletee picha tafadhali....

Hao watoto ni wa Kitanzania?
 
hizo nyumba ni kama hii?

U.S.-special-forces-assau-004.jpg
 
Mimi ningekua raisi,ningekua na watu wa kunikusanyia kila
aina ya habari,uwe umbea au ukweli na kuufanyia kazi!

So far Tanganyika tumewahi onja joto ya Usama,
kwa kukanyaga nyoka huko,kila habari au tetesi au ujumbe
tunao upata ni wa kufanyia kazi,wakaangalie kama ni kweli!

sio kwa kupeleka polisi na vigelegele vya magari yao,(najua ndicho watakacho fanya sijui wana fundishwa wapi hawa watu).
wapeleke wapelelezi,watakao act kama member au waingie ndani ya hizo nyumba kwa
ujanja wowote ule wa kutaka kushiriki kwa kila jambo wanalofanya hao watu,..
lazima ata note plan zao!

Lakini,nakuahidi mkuu,....hakuna kitakacho fanyika:-
1.kila mtu ni mwanasiasa na
2.hakuna mwenye uchungu na nchi,hadi tufumuliwe tena ili tuonekane kwenye ramani ya
dunia,tuonewe huruma,tupate misaada ya huruma,tuchukue 50% toka kwenye misaada hiyo,...

Kama hao watu wapo kweli,basi mafanikio yao yatakua 100%,..naomba yasinikute.
vi "intelijensia vyote" viko kwenye maandamano ya chadema,chadema wakisitisha maandamano,..
intelijensia inachukua likizo,....poor Tanganyika

Simple,kama wangekua na uchungu na Tanganyika wangefanyia kazi,ila hili ni kama dili
kwao na wanaanza ku-calculate profit out of it,...kama naangalia 24 vile,...
ila kina Jack Bauer wapo vile vile
 
naifahamu hiyo sehemu ila details ulizotoa sina uhakika nazo..

but that place luks suspicious, watu wanaosali pale tofauti kabisa ...:ranger:
 
Mkuu waweza piga picha hizo compound.tuletee picha tafadhali....

Hao watoto ni wa Kitanzania?

Watoto ni wa Kitanzania ambao wanapaswa kuwa kwa wazazi wao ukiwaangali kwa umri, haiingii akilini mtoto wa miaka 3 mpaka 4 umweke boarding kwa mafundisho ya madrasat na kumfundisha kareti, hapo ni mujaheeden wanazalishwa kwa ajili ya JIHAD na ugaidi tu. usalama wa Taifa sasa kazi yake ni kusubiri uchaguzi ili kuisaidia ccm kuiba kura, nchi imezungungukwa na magaidi wao wamelala tu.
 
kwa osama pako hivi

9539298-standard.jpg




9539297-standard.jpg



9539304-standard.jpg



9539299-standard.jpg




kama na hapo kiwalani pako hivi kuna hatari kubwa........maana mjenzi wa kule abbottabad atakuwa ndo huyo aliyejenga hapo...maana mmtu mmoja alichora ramani na kujenga......maana yake jamaa kaishi hapa bongo kwa mda mrefu tu.........kazi ipo
 
Hilo eneo linaloitwa CHADEMA....naona kuna utata, ngoja kwanza, kuna connection yoyote hiyo sehemu na Chama Cha Demokrasia(CHADEMA)??tusije kuingila mlango wa kutokea hapa!!
 
Jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wote, toa taarifa hizo za Kiitelijensia kwa vyombo husika.
 
...mmhhh,keshokutwa nina safari ya dar LAZIMA nifike hapo kushuhudia kabla SEAL hawajaharibu hiyo compound. nafikiri SEAL Team 7 itatua soon. mimi hata kwenye bus akipanda m'mama kavaa ninja au m'baba na midevu kama msitu wa amazoni na vikanzu vyao njiwa huwa nashuka. misikiti mingi ni ya kuimulika!!
 
Hilo eneo linaloitwa CHADEMA....naona kuna utata, ngoja kwanza, kuna connection yoyote hiyo sehemu na Chama Cha Demokrasia(CHADEMA)??tusije kuingila mlango wa kutokea hapa!!

Edwin mtei ndio mtu wa kwanza kufunguwa Tawi la Chama cha upinzani huko kiwalani kwa sababu tawi liko barabarani ndio maana makondakta wa daladala kituo wakakibatiza jina la CHADEMA, lakini mpaka sasa sio kituo tu bali eneo lote linaitwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom