Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 638
- 1,902
Uongozi wa AL Ahly SC umewakaribisha Young Africans SC katika makao yao makuu na imeamriwa watafanya ushirikiano katika kukuza uwekezaji
Eng Hersi amesisitiza mbele ya uongozi wa al ahly kuwa mabadiliko ya kwanza walienda kujifunza FC Barcelona na kuanzisha ushirikiano ambao unawasaidia kupata mbinu na njia za kuendesha timu
Na sasa wamefurahia mbinu na mikakati waliyopatiwa toka Al ahly kwa kuweza kuwa club bora ya karne
Aidha Uongozi wa juu na maafisa waandamizi wa Young Africans wameonyeshwa mbinu na mikakati iliyowezesha al ahly kufikia pale walipo
Eneo la Ahly ni kubwa sana na limebeba kila kitu kuna masoko makubwa,masoko ya rejareja ,Viwanja vya mazoezi vya Football, basketball na Volleyball .Maeneo ya kuhifadhia makombe na sehemu za utalii na mahotel
Viongozi wa Young Africans wakiongozwa na Eng Hersi wamefanya vikao na mijadala kwa masaa zaidi ya kumi na Management ya Al Ahly
Wanaoruhusiwa kuingia kwenye compound ya al Ahly ni wale waliolipa life membership au uwanachama wa kudumu unaofikia dollar 40,000 au TZs milioni 100 ,Anayelipa life membership ndie ana enjoy facilities zote zilizopo Al Ahly compound
Management ya Al ahly wamekiri kuwa mpira unaochezwa na Young Africans ni wa kisasa sana hivyo nao wanahitaji kujifunza aina ya mpira wa kasi na wa kuvutiwa unaochezwa na Young Africans
Rais wa Al Ahly na Rais wa Young Africans wamekubaliana pia katika maeneo ya uwekazaji na Al ahly wamekubali kutuma watu wao kwa ajili ya kuisadia Young Africans kwenye mageuzi yake ya uongozi,miundombinu na mbinu za usajili