SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Woote mumekosea, sababu kubwa ni kuwa amepata taarifa za kiiterejensia kuwa wananchi wote sasa hivi wanamdharau wala hawamsikilizi tena. Tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!
Mheshimiwa Mtukufu Rais wa JMT, umetumia haki yako ya msingi. Unaweza kuongea au kutoongea. Ni vizuri umeamua kutoongea maana kuna vitu vingi watu wangependa kusikia msimamo wako kama vile:
- Malipo kutoka BAE
- Kwanini wahisani wamesusa kuchangia bajeti ya 2010/2011
- Mauaji na Unyanyasaji wa raia na polisi wako (Nyamongo na Tabora)
- Msimamo wako kuhusu Libya na NATO
- Ubadhirifu wa fedha za "Economic Recovery" walizopewa mabenki wakati hakuna hasara
- Hali ya miundo mbinu nchini
- Maendeleo ya utekeleza wa ahadi zako kwa wananchi wakati wa kampeni
- Manung'uniko ya watu wa Arusha kuwa unawakomoa na ndiyo maana mikutano unahamishia Dar.
- Ripoti ya Ufisadi iliyotolewa hivi karibuni
- Ugumu wa maisha uliyosababishwa kwa kupanda kwa gharama za vitu mbalimbali pamoja na huduma za jamii. (bei ya mafuta, gesi, umeme, nafaka, nk)
- n.k.
Anaweza kuwaita ikiwa tu maswali ya kuulizwa atayatunga mwenyewe, vinginevyo rejea katuni ya Gado inayowahusu baadhi ya waandishi wa Tz na raiskama rais anafikiri ana cha kusema basi awaite waandishi wa habari wamuulize maswali kuhusu mambo mbalimbali.
kama rais anafikiri ana cha kusema basi awaite waandishi wa habari wamuulize maswali kuhusu mambo mbalimbali.
Tangu uzaliwe kuna kitu kuhusu JK umewahi kupenda? Nadhani unajua huwezi hata kutingisha upepo coward.