Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

Status
Not open for further replies.
'Rahisi' JK kushindwa kuhutubia jana na kushindwa kutoa taarifa kwa wamanchi sababu za kuahirisha hotuba ni UDHAIFU mwingine mkubwa.
 
Siamini, sijaamini! Kwa mara ya kwanza Ikulu inatudanganya. Yaani wameshindwa hata kutoa taarifa kuwa Rais sasa atazungumza na Wazee wa Dar, kina Mzee Ibrahim Akilimali wa Yanga!
Ingawa sikuwa na mpango wa kuisikiliza hotuba ya Rais nasikitika hakuzungumza, Ikulu wamesababisha nimdanganye mke wangu, maana nilimpigia simu kuwa aangalie TV, Rais angehutubia Taifa.
Nasikitika na kuogopa kuwa hata mke na watoto wangu wataona Ikulu ni waongo.
Huku ni kumdhalilisha Rais.

Yaani umesahau mara zoooooteee ulizodanganywa na IKULU? Rudisha kumbukumbu zako (Recall), utajua ni mara ngapi umedanganywa na Ikulu. Huu ni muendelezo tu wa silly gov!
 
kwa aliyoyaandaa kuhusu ulimboka imembidi a-edit tena, maana ulimboka ameondoka nchini ghafla sana jana...
 
JK, huwa ana kawaida ya kutoa hotuba kama analo jipya la kuwaeleza wananchi..., kama hamna jipya atawaeleza nn Watanzania....?
weeks zilizopita tumeshuhudia;
-Budget 2012/2013 ilivyoshindwa kukidhi mahitaji ya watanzania,
-Mgogoro wa Madaktari kuzidi kukuwa,
-sakata la kutekwa na kuumizwa kwa Dr S Ulimboka,
-Govt kushindwa na kulikabidhi Jeshi dhamana ya kulinda afya na kuwatibu watanzania,
-maamuzi ya Cabinet, kuwaleta Madaktari toka nje kuja kupiga ramli (nn maana yake, unamleta Dr
toka nje kuja kuwatibu watanzania wakati hospital za Govt hakuna vifaa na madawa....!). sina hakika hao madaktari wa
nje wataweza kufanya kazi zao kwa ufanisi.
-Meli za Iran kutumia Tanzania za flag! tunategemea kuanza mgogoro na Nchi wahisani.
-Na mengineyo...

Mungu Ibariki Tanzania.
 
watanzania hatuna muda wa kusikiliza ****!!!!!!!!! Bora niake bar ninye kuliko kusikiliza ***** wa dhaifuuuuu. ****.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom