Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
anasubiri kesho mkiwa mnacheki italy v spain
Utajuaje? Labda kifafa kimemwingia akaangula kabla hajaanza kusoma. Subirini, labda atazinduka! Kama huwa anaanguka mbele ya hadhara kwanini asianguke kwenye faragha. LIWALO na liwe.Dhaifu kasahau kuwa anatakiwa ahutubie Taifa, au kala kona, inaenda saa tano sasa.
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu
kuliko kuing`oa bora kuilekebisha kwasababu hatujawahi kuona vikiongoza yawezekana vikawa vibaya zaidi ya ccm
Kwa nini na wewe bado unaishi?Sijui kwanini marais wa Tanzania huwa hawafi haraka. Ukiacha Nyerere, wengine wote wabishi kama dagaa. Hivi kwanini wasiige mfano wa Malawi, amabapo marais kila siku wanavuta.
sisi tutoe ushaurigani wakati hotuba imeshaandaliwa kuongelea mafaniko hewa?:sleepy::sleepy::sleepy:Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu
Naheshimu sana usingizi wangu.
Bado mnaisubiri hotuba????