Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

Status
Not open for further replies.
seriously where is this man?usalama wa taifa rais mzima?vyovyote alivyo bado ni rais wa Tanzania.
 
Naona mpaka saizi hajanza kuhutubia labda anataka kuhutubia usiku ili watu wasimsikile na kukosoa!!!!!! Na huu nao ni udhaifu
 
Sijui kwanini marais wa Tanzania huwa hawafi haraka. Ukiacha Nyerere, wengine wote wabishi kama dagaa. Hivi kwanini wasiige mfano wa Malawi, amabapo marais kila siku wanavuta.
 
Hotuba ilishachapwa lakini hatujui imepotea saa ngapi!!
Ilikuwa hapa hapa. Huyu aliyeichukua airudishe jamani tunataka wananchi wasomewe.
Sijui mkoje ninyi mnaiba hadi hotuba ya mkuu wa inji.
 
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu

Aeleze ukweli ni nani walitumwa kumshughulikia ooops kum-Savimbi Dr. Ulimboka?
 
Inawezekana kauli ya ukombozi ya Dr.Ulimboka pale Airport wakati akiaga, imemstua sana na kumbadilisha mawazo ya yale waliyopanga watuzeveze.
 
Huyu jamaa ni dhaifu sana,sasa ni karibu saa tano usiku ninaangalia TBCCM,hakuna cha hotuba wala dalili za hotuba.
Kiukweli jamaa anaendesha nchi kwa kubahatisha sana,mimi silali mpaka nione hotuba au nipewe maelezo mengine ya kutosheleza.
Ninabashili atahairisha tu,mara utasikia kesho,keshokukwa...
 
Hii Hotuba mbana tumeingizwa mkenge jamani .Tumemsubiri Rais hajatokeza ngoja nikajilalie zangu mimi.
kalale kaka, we hujajua tu kufika 2015 salama ni kudra za mwenyezi? kama hujui tupo ndani ya islanders!!! tafuta boya ndugu yangu fasta otherwise wafwaaa...
 
Dhaifu kasahau kuwa anatakiwa ahutubie Taifa, au kala kona, inaenda saa tano sasa.
 
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu

Rais wetu mpendwa atahutubia kuanzia saa ngapi? Au keshapiga mwereka?
 
watu wanafiki kama wewe ni hatari kwa taifa ni unafiki tu unawasumbua asipo hutubia mnaponda, akihutubia mnakosoa
Tatizo ni kwamba tumeshamzoea. Hana la maana katika hotuba zake. Sasa kwanini nisikilize mambo ambayo hayana maana? Akihutubia na asipohutubia naona ni sawa tu.
 
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi.
Toa maoni na mapendekezo yako ya kitu ambacho mkuu wako wa nchi anatakiwa kukiongelea leo kwa manufaa ya kizazi cha leo na kesho. Aidha hotuba hiyo itarushwa live na vituo mbalimbali vya TV na radio, muda c mrefu tutaenda hewani wakuu msihofu

kakimbia......mzeee lover lover:behindsofa: alitishia tu...
hamna kitu kama hicho..........
shame.....pre.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom