Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

Status
Not open for further replies.

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kufahamu kwanini Mpendwa wangu Rais hakuhutubia Taifa siku ya Jana tarehe 30/6/2012 kama ilivyokuwa imetangazwa na vyombo mbalimbali vya habari.

Kutokana na usumbufu wote uliojitokeza kwa niaba yangu mwenyewe na chama changu CCM naomba kuwataka radhi wananchi wote mliokesha kusubiri hotoba ya Rais bila mafanikio; natumaini Mungu atawatangulia.

Je Rais atahutubia siku ya Leo? ......................................... Jibu tutawapatia baadaeeeeee

Mungu Ibariki Tanzania; Mungu Mbariki Rais wetu umuongoze katika kufanya maamuzi sahihi ktk kipindi hiki kigimu Ameennn
 
MDHAIFU KAMA YULE ATATUAMBIA NINI?

Labda wakina Rejao......thatha.....ritz...na wale wote wanaofanana na hao wakae mkao wa kupakuliwa na mshikaji wao!
 
Just about everything that comes out of his mouth is nonsense so I don't really care much about what he has got to say.
 
hivi unaacha usingizi wako umsikilize dhaifu atakuwa na lipi au anataja alioshiriki nao kutaka kumuua dr ulimboka..au anataka kuja kutuambia kuwa vijana wake aliwatuma kuua na siyo kujeruhi..
 
Nashauri atupe ufafanuzi huhusu, mgomo wa madaktar, kusulubiwa ulimboka,kuruhusu meli za iran kutumia bendera zetu, bilion300 alizoficha na wenzake majuu, kwanini ye ni zaifu,. Naitaji majibu yake kiofup juu ya hayo
 
"Ndugu watanzania,napenda kuwapa taarifa kuwa ya hali ya sasa ya nchi ni shwari ingawa vijana wangu wananiangusha katka kutekeleza yale ambyo nawaagiza.Nasema wananiangusha kwakua hata kumuangamiza mtu mmoja tu wameshindwa,aidha napenda kuchukua furusa hii kuwapongeza wananchi wa tegeta walio nipokea kwa shangwe na vigelegele pale maeneo ya Namanga wakati naenda kuangalia tv ya asili kule bagamoyo.ahsante kwa kunisikiliza,Mungu ibariki Tanzania, "
 
hivi unaacha usingizi wako umsikilize dhaifu atakuwa na lipi au anataja alioshiriki nao kutaka kumuua dr ulimboka..au anataka kuja kutuambia kuwa vijana wake aliwatuma kuua na siyo kujeruhi..

I hope akianza kuhutubia wewe na wanafiki wenzio mtakesha mkituma post za kuponda hotuba yake kwani ndo kazi yenu kuu
 
watu wanafiki kama wewe ni hatari kwa taifa ni unafiki tu unawasumbua asipo hutubia mnaponda, akihutubia mnakosoa

tatizo lake kauli ya president na katibu mtendaji wa kijiji hazina tofauti,. Heli kulala kuliko msikiliza hyu jamaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom