Akaongee na wazee wa darisalamu.
Audience inayomfaa kutolea hotuba hiyo ni MILEMBE HOSPITAL.Imekuwaje tena!... kwani wazee wa Dar es Salaam hawapo?
lakini mkuu we waona huyu tunaye muita rais, kweli kasimama ktk nafasi yake?I hope akianza kuhutubia wewe na wanafiki wenzio mtakesha mkituma post za kuponda hotuba yake kwani ndo kazi yenu kuu
Siamini, sijaamini! Kwa mara ya kwanza Ikulu inatudanganya. Yaani wameshindwa hata kutoa taarifa kuwa Rais sasa atazungumza na Wazee wa Dar, kina Mzee Ibrahim Akilimali wa Yanga!
Ingawa sikuwa na mpango wa kuisikiliza hotuba ya Rais nasikitika hakuzungumza, Ikulu wamesababisha nimdanganye mke wangu, maana nilimpigia simu kuwa aangalie TV, Rais angehutubia Taifa.
Nasikitika na kuogopa kuwa hata mke na watoto wangu wataona Ikulu ni waongo.
Huku ni kumdhalilisha Rais.
Ulikuwa kwenye baiskeli nini wkt unaandika hii kitu? Mbona hueleweki??