Atoe salam kwa nani?, sikukuu kama hizi ni personal issues. Ingekua kitaifa mkwere angetoa salam tu. Na bahati mbaya inaangukia kati ya siku katika mwezi.
Nimejaribu kutega sikio radioni, tv na magazeti, vichache ya vyombo vya habari sikubahatika kuona, soma au sikia alamu zake, napenda wanaofahamu wanijulishe nipate nami kuliwazwa na maneo ya busara na hekima za rais wetu kututakia Watanzania sikukuu njema ya Noeli.
Kama mtoto wa mkulima tu alienda shamba unafikiri yeye JK alikuwa wapi na kwanini hakutoa Salamu za Noel? Hapo ndio utajua Nafsi inamsuta ataoa salamu kwa nani hasa?
kwahiyo tungepitia Face book? kupata salamu hizi?please check on his face book page -http://www.facebook.com/Kikwete..... ametoa salamu za X-MASS
"Jakaya Kikwete It's one of the days,we all have to remind ourselves of the importance of showing love, kindness and caring for others in society;the acts of kindness that bind us as people, and remind us of the greatest blessing we have.I wish you a Merry Christmas".
Yesterday at 9:40am
Is this the right medium to express his x-mass wishes to Tanzanians au ametoa x-mass wishes kwa wana Face book ....., mbona hajatoa kwa wana JF.....
......hata kama alitoa salamu na mgawo wa umeme ni masaa `12 kwa nchi nzima .....mngemsikiaje wakati televisheni zimedoda...hakuna umeme!!!!
Rais wa Facebook???