Rais Kikwete hajatoa salamu X-mass?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Nimejaribu kutega sikio radioni, tv na magazeti, vichache ya vyombo vya habari sikubahatika kuona, soma au sikia alamu zake, napenda wanaofahamu wanijulishe nipate nami kuliwazwa na maneo ya busara na hekima za rais wetu kututakia Watanzania sikukuu njema ya Noeli.
 
Kama ni kweli hakufanya hivyo, ina maanisha hali si shwari kabisa na hana amani moyoni mwake.
I mean, hastaili kuwa kiongozi wa nchi.
 
Mbona Iddi hakutoa salamu? This is bongo bwana. Marekani ndio mnayasikia hayo.
Kwanza salamu za sikukuu anazitoa kupitia kwa 'houseboy' wake wa ikulu kwa watoto yatima. Zinakuwa zimeambatana na mbuzi, ndoo ya mafuta, mchele.
Ndio salamu zake za kibaguzi.
 
Kama ni kweli basi hii ni noma sana, labda wamechanganyikiwa na habari zilizoandikwa kule Guardian hivi karibuni na kujichanganya kwa Ngeleja mara mgao sasa ni history na baada ya siku chache mgao wa nchi nzima unatangazwa tena.
 
Kikwete haja tenda haki katika kuingia madarakani na hivyo hana amani ya kusherekea chochote na sasa mtandao wa wikileaks unamtesasa
 
Kama ni kweli basi hii ni noma sana, labda wamechanganyikiwa na habari zilizoandikwa kule Guardian hivi karibuni na kujichanganya kwa Ngeleja mara mgao sasa ni history na baada ya siku chache mgao wa nchi nzima unatangazwa tena.

Bubu, the guy never and I say never does that! Hatoi salamu zozote. Mimi mwaka jana nilishangaa mbona kachelewa kutoa mbuzi, mafuta an mchele kwa watoto yatima? Maana sikuona kwenye habari. Akaja kutoa tarehe 24 tena kwa kituo cha kigoma. Sasa nikajiuliza leo 24th hivyo vitu watakula kweli xmas au mwaka mpya?

Thats your president.
 
Who cares whether ametoa au hajatoa? Salamu zake hazitoleta mlo mezani. Ila kwa sasa nadhani issue za wikileaks, maandamano na mgomo wa UDOM vinamuumiza kichwa JK.
 
Huyu ni rais wa nchi. Anamajukumu mengi ya kitaifa. By ze way what iz x-mas. Mtamkondesha mtoto wa mwenzenu kwa mambo yasiyo ya msingi. Mary x-mas +happy new year on b'haf of JK
 
Akae na salam zake awape sherehe inner circle yake, atupe salamu wakati anajua tushamchoka? The guy is never serious at all he think everytime is smilling time! Get real mkwere
 
Atoe salam kwa nani?, sikukuu kama hizi ni personal issues. Ingekua kitaifa mkwere angetoa salam tu. Na bahati mbaya inaangukia kati ya siku katika mwezi.
 
Au kasusa baada ya kugundua ni asilimia 27 tu ya Tz ndiyo walimpigia kura.
The rest tulimkataa naye akaamua kujibakiza ikulu kwa nguvu kama Gabgo
 
Nimejaribu kutega sikio radioni, tv na magazeti, vichache ya vyombo vya habari sikubahatika kuona, soma au sikia alamu zake, napenda wanaofahamu wanijulishe nipate nami kuliwazwa na maneo ya busara na hekima za rais wetu kututakia Watanzania sikukuu njema ya Noeli.

It always seems impossible, until it is done
 
......hata kama alitoa salamu na mgawo wa umeme ni masaa `12 kwa nchi nzima .....mngemsikiaje wakati televisheni zimedoda...hakuna umeme!!!!
 
Back
Top Bottom