Rais Kikwete hajatoa salamu X-mass?

Rais kama Rais anaweza kusahau.but rais kama taasisi ni makusudi.
 
mkwere tangia aingie madarakani amechanganyikiwa, nchi imemshinda Matatizo kila sehemu angetafuta foreign investor aiprivatishe.
hakutoa salamu siku ya uhuru sembuse xmas the man should step down
 
Atoe salam kwa nani?, sikukuu kama hizi ni personal issues. Ingekua kitaifa mkwere angetoa salam tu. Na bahati mbaya inaangukia kati ya siku katika mwezi.

Ni public holiday, umesahau au kwa kuwa iliangukia wkend?
 
Jamani tuacheni unungunungu kuna mambo ya muhimu kuzungumzia wakati huu...hizo salamu si za muhimu ila ninachojua mimi nyumba za yatima zimefarijika na kitoweo cha Xmas na mwaka mpya! sasa bora kipi?
 
Kama mtoto wa mkulima tu alienda shamba unafikiri yeye JK alikuwa wapi na kwanini hakutoa Salamu za Noel? Hapo ndio utajua Nafsi inamsuta ataoa salamu kwa nani hasa?
12_10_6scme1.jpg
 
Nimejaribu kutega sikio radioni, tv na magazeti, vichache ya vyombo vya habari sikubahatika kuona, soma au sikia alamu zake, napenda wanaofahamu wanijulishe nipate nami kuliwazwa na maneo ya busara na hekima za rais wetu kututakia Watanzania sikukuu njema ya Noeli.

please check on his face book page -http://www.facebook.com/Kikwete..... ametoa salamu za X-MASS
"Jakaya Kikwete It's one of the days,we all have to remind ourselves of the importance of showing love, kindness and caring for others in society;the acts of kindness that bind us as people, and remind us of the greatest blessing we have.I wish you a Merry Christmas".

Yesterday at 9:40am

Is this the right medium to express his x-mass wishes to Tanzanians au ametoa x-mass wishes kwa wana Face book ....., mbona hajatoa kwa wana JF.....
 
Kama mtoto wa mkulima tu alienda shamba unafikiri yeye JK alikuwa wapi na kwanini hakutoa Salamu za Noel? Hapo ndio utajua Nafsi inamsuta ataoa salamu kwa nani hasa?
12_10_6scme1.jpg

Jamaa anajua sana kuigiza! Comedy hana muda wa kuvaa soksi. Dogo mwingine kakunja sharti kibitozi mkono mmoja akipoza uji
 
please check on his face book page -http://www.facebook.com/Kikwete..... ametoa salamu za X-MASS
"Jakaya Kikwete It's one of the days,we all have to remind ourselves of the importance of showing love, kindness and caring for others in society;the acts of kindness that bind us as people, and remind us of the greatest blessing we have.I wish you a Merry Christmas".
Yesterday at 9:40am

Is this the right medium to express his x-mass wishes to Tanzanians au ametoa x-mass wishes kwa wana Face book ....., mbona hajatoa kwa wana JF.....
kwahiyo tungepitia Face book? kupata salamu hizi?
 
:redfaces:
......hata kama alitoa salamu na mgawo wa umeme ni masaa `12 kwa nchi nzima .....mngemsikiaje wakati televisheni zimedoda...hakuna umeme!!!!

:redfaces:
Hata bila hiyo giza linalogawiwa na TANGISO (..la kukagawa Giza..), huwa nani anamsikiliza JK kweli?
Tulikuwa tunawahi nyumbani kumsikiliza JK wa kweli enzi zile za Mwalimu!
Hao waliofuata, mmmhhhhhh!
 
So who cares!, tunachotaka wa TZ sio salamu za krismas wala Iddi wala Uhuru, bali tuna taka tuone maisha bora kwa kila MTZ, huduma nzuri za afya na kijamii mf: umeme,maji safi, elimu bora na mengineyo
 
Wikileaks makes him sick, he has got nothing to say, but mourning, May devil be with him through this very time of hardship.
 
So who cares!, tunachotaka wa TZ sio salamu za krismas wala Iddi wala Uhuru, bali tuna taka tuone maisha bora kwa kila MTZ, huduma nzuri za afya na kijamii mf: umeme,maji safi, elimu bora na mengineyo
 
kama salamu hazijatoka basi ni suala la "mtendaji katika
ofisi ya raisi" kutotimiza wajibu wake. hizi salamu naamini
hutayarishwa na ofisi ya raisi kisha hutangazwa kwamba
raisi amezitoa.
 
Back
Top Bottom