Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Kwa hiyo unatuambia Kikwete aliagiza kuanzia sasa aletewe CV ili ajue mteule ataapishwa na kitabu cha dini gani. Kwenye CV siku hizi unataja dini?
Labda na wengine tufanye mpango ku-update résume zetu labda tumepitwa na wakati hatujui mambo haya. Wewe Shalom kwenye CV yako umebainisha "mimi ni mlokole"? Sali kwamba huyo mwajiri nae awe mlokole.
Yaah kwenye Cv yangu nimesema kuwa kuwa ni mpentecosti si unajua hii ina nguvu kuliko hata kusema kuwa ni mlokole? Na vyeo napanda sana na boss sijui hata kama anaamini kuwa mungu yupo! ( kwa lugha ya biblia ni Mpumbavu). Ila issue hii ni serius naweza kuwa sijaielezea vizuri sasa ila nikitulia nitaelezea vizuri. Ni mchanganiko wa mambo mengi kwenye hii issue ya huyu jamaa yes! ikiwemo kuwa jina lake ndiyo lilimpa ujaji na yeye anajua hivyo!