Rais Kikwete atengua uteuzi wa DC wa Kishapu

Hii sasa nayo imekaa sivyo ndivyo, nadhani kuna jambo la kudhania katika hili;
-kwanza system haikufanya kazi sawa sawa katika kupitia profile za wateuliwa na hvy inahitaji kukumbushwa katika hili.
-pili kwa kuwa huyu si mtu wa kwanza kupigiwa kelele na wananchi na sheria zetu(rushwa) bado akateuliwa, yawezekana Mhe azingatii maoni ya kamati husika ikiwa pamoja na TISS (Mfano uteuzi ambao wananchi walipigia kelele; EL, Chenge na RC-Mby).

Hvy lawama za nani kafanya nini na nani hakufanya nini inategemea na sababu ambazo hatuwezi kuelezwa hapa, lakini kwa hili nadhani kunakuchomekea somewhere.
 
kama usalama wa taifa wanamwandikia taarifa na hasomi wao wafanyeje? kama hana muda wa kuwasikiliza usalma wa taifa kwa kuwa yeye ni kiguu na njia wao wafanyeje? sidhani kama usalama wa taifa wanaweza kuwa smart kuliko wanayemshauri. Nyerere was very smart
 
Hii ni aibu kwa raisi, yaani unateua na kutengua hapo hapo? manake nafanya kazi kwa kukurupuka, na kwa nafasi aliyo nayo hiyo haifai kabisa, kuna siku anaweza kurupuka akaidhinisha hata mt anyongwe halafu ndo anakuja kustuka baadae.

Kumbuka hii si mara ya kwanza kukurupuka, kuna siku yeye mwenyewe hadi alisha kiri kwamba alikurupuka kumfukuza mtu kazi!
 
jamani watu wanailaumu TISS, ni nani kasema kuwa TISS wanajukumu la kumvet mtu yeyote kwa nafasi ya kuteuliwa?
 
Hii nchi kweli usanii umezidi ,ina maana wakati anamteua alikuwa hana taarifa/rekodi zake

Inaonekana Lowasa na Rostam Azizi huwa wanapanga wakuu wa wilaya na mikoa halafu wanampelekea tu yeye kutangaza.
 
Halafu mnaniambia nchi hii kuna USALAMA wa TAIFA?
bu hahahahaha!
 
Teh teh teh teh teh teh jamani human error iko siko watamteua mtu bahati nzuri watatamka jina lako uwiiiiiiiiiiii umeula wakija shituka ushaapishwa. Si kama sheria yetu ya uchaguzi eti atakayetamkwa kushinda uraisi ndio huyo huyo siku ya siku mtu ateleze patachimbika.
 
Effective..!!?? I dought that...they didn't see Chenge had $ 1 Mil in off-shore bank account.

Nimekumbuka kipindi fulani kuna watu waliowahi kushika nyadhifa nyeti serikalini katika ngazi mbalimbali halafu much much later Serikali hiyohiyo iliyowateua ikadeclare kuwa siyo raia wa Tanzani na watimuliwe nchini au waombe kibali cha ukazi!
Nyuma zaidi mnamkumbuka Mark Twist??.....jazeni blanks wenyewe
 
Nakumbuka wakati Mh anatangaza baraza lake la kwanza la mawaziri alitamka wazi kwamba uwaziri hausomewi; kwenye list ya kwanza ya wakuu wa wilaya aliowateua kulikuwa na majina ambayo kama kuna timu inamshauri naamini wasingeweza kujumuisha watu. Hapa naamini muungwa wetu anafanyakazi jinsi anavyofikiri yeye na hazingatii ushauri wa mtu yeyote na katika kila issue ya kitaifa analojibu tayari whether jibu sahihi ama la. Kwa huyu DC naona baada ya kumtangaza kuna watu waliamua kwenda kumpa ukweli ndiyo akaamua kutengua huo uteuzi.
 
Hivi Francis Isack, alishaapishwa?? Na tuhuma zake zinazochunguzwa na tume ya Ridhiwan Kikwete ilishamaliza kazi?.
Yaani kazi kweli kweli, mtoto anapewa jukumu na UVCCM kumchunguza mtuhumiwa; baba anamteua kuwa DC!!! taratibu tutafika tu huko tunakoelekea.
 
KWELI NIMEAMINI MALIPO HAPA HAPA DUNIANI;MUNGU NDIE MLIPAJI NA NDIE MGAWA VYOTE HUYU BWANA ALISHINDANA SANA MPAKA AKAMTOA BABU WA WATU KWENYE UBUNGE (R.I.P). KABUYE.. MATOKEO YAKE KESI MPAKA MAJUZI BABU WA WATU ANAKUFA HAKUNA KUSIKILIZWA.... AIBU INAMPATA ANATEULIWA AKIWA NJIANI KUGONGANISHA GLASS ANAAMBIWA ...... NAJUA MLIONGEA SANA JUU YANGU LAKINI SIWAJUI... NANUKUU KITABU...

NAMPA POLE NA HII NI FUNDISHO KWAA WOTE WANAOFANYA JAMBO KWA CHUKI NA SI KWA MANUFAA YA UMMA

Choya aliyekuwa mbunge kwa kipindi kimoja (2000-2005) Alishindwa ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2005 na kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa hayati Phares Kabuye (TLP) na matokeo yake kutenguliwa miezi 20 baada ya uchaguzi huo baada ya mahakama kuridhika kuwa mdaiwa alitumia lugha ya matusi wakati wa kampeni.

Hata hivyo, Kabuye hakuridhika na hukumu hiyo alikata rufaa ambayo hadi juzi alipofariki dunia katika ajali ya Basi mkoani Morogoro, ilikuwa haijasikilizwa

Kwa mujibu wa Simkoko, Choya aliporejea kutoka Dar es Salaam, alifuatwa na gari la wilaya Uwanja wa Ndege Mwanza na kuwaeleza walioompokea kuwa, 'mambo yameshaharibika'.

Baada ya hapo wakamsafirisha hadi Shinyanga kuungana na familia yake ambayo ilikuwa imeshakaa hotelini kwa siku tatu.

Mwenyekiti huyo wa CCM wilaya ya Biharamulo na familia yake walisafirishwa kwa njia ya barabara kupitia Kahama kurejea wilayani kwake.

Mwananchi Jumapili lilipowasiliana na Choya, alikiri kuwa ni kweli alisimamishwa kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi lakini akabainisha kuwa hadi jana, alikuwa hajui sababu zilizosababisha mabadiliko hayo ya ghafla.

"Kwa sasa (jana jioni) niko njiani naenda Dar es Salaam ili kujua sababu zilizosababisha hali hiyo," alisema Choya alipokuwa akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu.

Alisema kuwa alipata taarifa hizo akiwa safarini pamoja na familia yake kwenda Kishapu lakini baada ya kueleza, ilibidi airejeshe familia yake nyumbani.

Kuhusu kukabiliwa na kesi ya rushwa, Choya alikiri lakini akasema ni vigumu kutoa maelezo juu ya kesi hiyo kwa njia ya simu na isitoshe alikuwa kwenye basi.

shame on you
 
Mnashangaa nini? hayo ni mambo ya kawaida. Jamaa sasa ili kuteua majaji ameagiza lazima aletewe na CV (maana yake mwanzo alikuwa anasaini tu) Kisa, kuna jamaa mmoja anitwa Ibrahim Said Mipawa amabye sasa ni jaji. Jamaa alimchagua jaji siku ya kuapishwa jamaa akapewa kitabu cha kiislamu ikabidi akatae aombe(Gombo). Watu wote wakashangaa na agizo likatolewa lazima zije CV wakati wa kuchagua. Jina limempa ujaji jamaa, anastahili ila hakufit kwenye priority ya muda huo.
 
kwanini hakupewa kitabu cha imani yake toka mwanzo?
Na je kama han adini yoyote ingekuwaje?
 
kwanini hakupewa kitabu cha imani yake toka mwanzo?
Na je kama han adini yoyote ingekuwaje?

Jamaa walijua kuwa kwa kuwa jina lake ni la kiislamu basi ni muislamu. kama hana dini ndiyo ilitakiwa. Amini kuwa jamaa anhgekuwa jina lake yohana peter asingekuwa pale! mtafute muulize si jaji bwana
 
Mnashangaa nini? hayo ni mambo ya kawaida. Jamaa sasa ili kuteua majaji ameagiza lazima aletewe na CV (maana yake mwanzo alikuwa anasaini tu) Kisa, kuna jamaa mmoja anitwa Ibrahim Said Mipawa amabye sasa ni jaji. Jamaa alimchagua jaji siku ya kuapishwa jamaa akapewa kitabu cha kiislamu ikabidi akatae aombe(Gombo). Watu wote wakashangaa na agizo likatolewa lazima zije CV wakati wa kuchagua. Jina limempa ujaji jamaa, anastahili ila hakufit kwenye priority ya muda huo.
Wanajamii kama mmesoma hii post najua mtagundua kuw stori ipo ktk maneno niliyobold.
Je kwa hili ni kweli? na kama kuna kiini cha udini ktk uteuzi ina maana muungwana ana lake moyoni ambalo SI ALILOTUMWA na watanzania.
 
Kwa hiyo unatuambia Kikwete aliagiza kuanzia sasa aletewe CV ili ajue mteule ataapishwa na kitabu cha dini gani. Kwenye CV siku hizi unataja dini?

Labda na wengine tufanye mpango ku-update résume zetu labda tumepitwa na wakati hatujui mambo haya. Wewe Shalom kwenye CV yako umebainisha "mimi ni mlokole"? Sali kwamba huyo mwajiri nae awe mlokole.
 
Wanajamii kama mmesoma hii post najua mtagundua kuw stori ipo ktk maneno niliyobold.
Je kwa hili ni kweli? na kama kuna kiini cha udini ktk uteuzi ina maana muungwana ana lake moyoni ambalo SI ALILOTUMWA na watanzania.

Jamaa si yupo jamani mulizeni kama ikulu nzima haikushangaa aliposema anataka Gombo! haya siyo mambo yaliyotokea mwezini ni hapa tu na watu wahusika wapo. Pia kama jamaa akuagiza cv ziwe zinaunganishwa
 
Back
Top Bottom