Kuustafishwa kwa manufaa ya umma

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
380
763
Kwanza nimpongeze Ex DC Kitwala kwa kupigania HAKI yako. Nitoe mfano unaofanana wa Ex DC Kitwala. Kuna rafiki yangu aliteuliwakuwa Mkuu wa Wilaya akiwa na miaka 32 na akadumu kwenye Ukuu wa Wilaya kwa muda wa miaka mitano. Awamu hiyo ilipoisha hakupata uteuzi akiwa na miaka 37 na kabla kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa Afisa Mipango. Baada ya kukosa uteuzi akarudi nyumbani na hakurudia ile kazi yake ya Afisa Mipango. Watendewe haki isheria. Mtu umekosa uteuzi na hujafikisha miaka 60 ya kustaafu kisa kukosa uteuzi wa kuendelea kuwa Mkuu wa Wilaya unanyimwa kuendelea na wadhifa wako wa zamani. Ninaishauri Serikali, kama mtumishi amekosa uteuzi na alikuwa ni mtumishi wa Umma ni vema akaurudi kuendelea na kazi yake ya awali kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya. Nitamshauri huyu rafiki yangu Ex DC naye akimbilie kwenye vyombo vya haki ili naye apate haki yake.
 
Muache woga wa kukataa teuzi na mkikubali pia msiwe waoga kudai haki zenu

Ninavyoelewa ukiteuliwa ukiwa mtumishi wa umma ukitenguliwa unarudi kazi yako ya awali
 
Back
Top Bottom